Ogopa mgonjwa wako kutibiwa na madaktari waliopelekwa Muhimbili toka Wizara ya Afya

Ozzie

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
3,217
1,259
Mimi siwezi peleka mgonjwa wangu akatibiwe na madaktari waliopelekwa Muhimbili toka wizara ya afya kwa sababu tatu kubwa:
1. Wengi hawajafanya kazi za kutibu wagonjwa kwa zaidi ya miaka mitatu. Wamesahau hata dose ya panadol. Halafu sheria inasema usipotoa tiba kwa miaka mitatu lazima urudi kufanya intern au mafunzo elekezi. Nitatibiwaje na mtu anayeshinda wizarani akinywa chai.
2. Wengi wamesoma Urusi na China, hivyo wako 'shallow' mno. Hawajui lolote.
3. Wanajeshi Muhimbili ni level kubwa sana kwao.
 
kote nakubali kasoro hapo kwenye RED ....... Tanzania imekuwa ikipeleka wasomi kwenda hizo nchi toka miaka ya 80 wengi ni wazoefu na madactari bingwa sasa....
 
nakuunga mkono.hawa jamaa sio shallow mbona hata maspecialist wetu wa muhimbili wengine wamesomea huko?
 
Mimi siwezi peleka mgonjwa wangu akatibiwe na madaktari waliopelekwa Muhimbili toka wizara ya afya kwa sababu tatu kubwa:
1. Wengi hawajafanya kazi za kutibu wagonjwa kwa zaidi ya miaka mitatu. Wamesahau hata dose ya panadol. Halafu sheria inasema usipotoa tiba kwa miaka mitatu lazima urudi kufanya intern au mafunzo elekezi. Nitatibiwaje na mtu anayeshinda wizarani akinywa chai.
2. Wengi wamesoma Urusi na China, hivyo wako 'shallow' mno. Hawajui lolote.
3. Wanajeshi Muhimbili ni level kubwa sana kwao.
Sijawahi sikia kiongozi wa China au Russia akipelekwa India au Uingereza kwa matibabu!
 
Tatzo ma dr wanaosoma muhimbili huwa wanawadharau waliosoma hzo nchi!mi huwa nawashangaa maana sijaskia wachna wakija kutibiwa muhimbili zaidi ya hao wachna kufungua hospt hapa na wanapata wagonjwa kibao!
 
kote nakubali kasoro hapo kwenye RED ....... Tanzania imekuwa ikipeleka wasomi kwenda hizo nchi toka miaka ya 80 wengi ni wazoefu na madactari bingwa sasa....

Madktari wa china na Russia wako fiki! labda aseme kingine!
 
Sijawahi sikia kiongozi wa China au Russia akipelekwa India au Uingereza kwa matibabu!

Na mimi sijawahi sikia Kigogo wa Serikali ya Tanzania hasa CCM akipelekwa China au Russia kwa matibabu! Wote wanakimbilia India.
Je, ni madaktari wangapi walioko Muhimbili wamesomea India????!!!!

Tafakari!
 
Mimi siwezi peleka mgonjwa wangu akatibiwe na madaktari waliopelekwa Muhimbili toka wizara ya afya kwa sababu tatu kubwa:
1. Wengi hawajafanya kazi za kutibu wagonjwa kwa zaidi ya miaka mitatu. Wamesahau hata dose ya panadol. Halafu sheria inasema usipotoa tiba kwa miaka mitatu lazima urudi kufanya intern au mafunzo elekezi. Nitatibiwaje na mtu anayeshinda wizarani akinywa chai.
2. Wengi wamesoma Urusi na China, hivyo wako 'shallow' mno. Hawajui lolote.

3. Wanajeshi Muhimbili ni level kubwa sana kwao.

Duh, ndugu yangu nimeshindwa kuelewa hapo kwenye RED! Nategemea comment yako hadi ukaiweka hapa itakuwa evidence-based!
Labda tu nikuombe uweke evidence hapa tufahamu hizo data kwani sikuwa na habari kuwa doctors wa urusi na china wako "shallow mno" ukilinganisha na??????
 
ushallow wa madaktari wa china na urusi unaweza kusababishwa na mfumo wa hospitali zetu ambao uko outdated.
 
kote nakubali kasoro hapo kwenye RED ....... Tanzania imekuwa ikipeleka wasomi kwenda hizo nchi toka miaka ya 80 wengi ni wazoefu na madactari bingwa sasa....
Asikwambie mtu hawa jamaa waliosomea huko niwalevi nomaaaaa. Huwa wanajitengenezea wenyewe ulabu maabara. Kuna waliopoteza maisha kwa magonjwa ya ini na wengine wanafrustrations za maisha kutokana na ulevi kupindukia. Labda wanaosoma Urusi miaka hii ndo wana muelekeo mzuri kitabia, lakini wale wa zamani tulipoteza kodi
 
Back
Top Bottom