Ozzie
JF-Expert Member
- Oct 9, 2007
- 3,217
- 1,259
Mimi siwezi peleka mgonjwa wangu akatibiwe na madaktari waliopelekwa Muhimbili toka wizara ya afya kwa sababu tatu kubwa:
1. Wengi hawajafanya kazi za kutibu wagonjwa kwa zaidi ya miaka mitatu. Wamesahau hata dose ya panadol. Halafu sheria inasema usipotoa tiba kwa miaka mitatu lazima urudi kufanya intern au mafunzo elekezi. Nitatibiwaje na mtu anayeshinda wizarani akinywa chai.
2. Wengi wamesoma Urusi na China, hivyo wako 'shallow' mno. Hawajui lolote.
3. Wanajeshi Muhimbili ni level kubwa sana kwao.