Ogopa Mgomo Baridi: Muhimbili hakufai

Jana nilipita hapo hospitali kumwona ndugu mmoja mgonjwa, inasikitisha kwa kweli...Kwanza hakuna madaktari wa kutosha. Kwa wiki moja mgonjwa aliyelazwa anaonana na Daktari mara moja ama mara mbili tu. Pili, mgonjwa akiandikiwa dawa...inakuja kutolewa baada ya siku tatu.

Inasikistisha....Kwa mara ya kwanza niliogopa kuumwa!!
Wapi tunakwenda?
Do you now believe mgomo umeisha?
 
Nimeshawahi kwenda hospitali ya wazazi meta mbeya sikuamini wamama wajawazito wamelazwa kwenye magodoro sakafuni wanasubiri kujifungua.
 
Yani unawatubia ili waende peponi?
I would have gunned them down then go confess afterwards for my own skin.
sio mkuu ninaomba toba kwa ajili ya watu ambao wanakufa bila hatia kwa sababu ya hawa viongozi wazembe
 
Nimeshawahi kwenda hospitali ya wazazi meta mbeya sikuamini wamama wajawazito wamelazwa kwenye magodoro sakafuni wanasubiri kujifungua.
Hiyo sio picha aliyo nayo kikwete.
Kwake na kwa jinsi atakavyojitetea kama kila siku ni kuwa anapotoshwa na wasaidizi wake....
anaangushwa na wasaidizi wake aliowateua "bila kushinikizwa".
Kwake pisi tu
 
Ujinga wetu ndio unaoleta kiburi cha watawala.unaumwa unalala chini,huna dawa,chooni hakuendeki,kliniki unakaa masaa kumi unajisifu kama mtoa kodi mzuri chaa kama si wazimu ni nini
 
wajali Quality kwani wao wanahudumiwa hapo?
wao, watoto zao, wake na waume wakipata mafua tu India,
wananchi mnaozidi kuweweka madarakani ndo inakula kwenu....





Hali kama hii wodi kujaa serikali inaitafsiri kuwa huduma zimerejea.
Wao watu kummiminika kwa wingi hospitali na wodi kujaa ndo indicator ya huduma nzuri.
Serikali ya Kikwete na Pinda wanajua QUANTITY tu, QUALITY kwao msamiati.
 
Am not sure kama ule ni mgomo ama upungufu usio mithilika wa madaktari...Unajua intern wote wamefukuzwa...na hapo ndipo kwenye tatizo mkuu
Yeah
ata mi nadhani inachangia.
Lakini hata hao walioko kwa job, do they really perform optimally?
Hebu scan iyo!
 
tumejitakia mwenyewe hakuna wakumlilia maana hata ukipaza sauti watasikia na hawachukui hatua yoyote.tuvumilie tu hayo yote yanamwisho
 
Back
Top Bottom