Ogopa Mgomo Baridi: Muhimbili hakufai

Ogopa Mgomo Baridi: Muhimbili hakufai

Ni kweli hii thread imeanika, lakini media pia ni ma-whistle blowers, magazeti, redio, TV husikika kwa wasiofika hapa Jamii Forums

You are very right Sir. Lakini wakati Mwenge Jazz Band wanaimba wimbo wa "Joka limeingia nyumbani, joka hilo ni nduli iddi amini eeeeh...." Idd Amin mwenyewe alikuwa anakunywa mvinyo 'VODCA" kwenye kiti cha kuzunguka uani kwake yenye bustani na bwawa la kuogelea, akichezesha kichwa, kiuno, miguu na vimwana pembeni. Ameshiba na ulinzi uliomzunguka usipime! Hata Mahfudh alipoingia na kuketi naye mezani kumserve chakula akalazimika kuongea na Mwalimu JKN kwa simu aliyolazimishwa kupiga na kusema kwamba "Nimetubu waambie wasiniue" Kumbe alikuwa anajua kila kitu kinachoendelea watu wakifa hovyo kwa vita ya kipuuzi aliyoianzisha, akadhani yeye ni salama sana. Kushituka, Hamad! Watanzania JWTZ wako lango kuu, akatokea mlango wa nyuma na kukimbilia Jinja kisha huyoooooo uarabuni alikojifia. Yalitokea hayo kwa msaada wa wananchi wake aliokuwa anawadanganya kwamba yeye ni mfalme wa Scotland akaamini wote ni wajinga wanamkubali, lakini wapo waliowaonyesha njia watanzania ya kufikia lango kuu. SIna hakika kama aliondoka amevaa chupi akikimbia na kuacha vimwana maridadi bila kuviaga kwa busu. Tanzania tunatamani kitengeneza Uganda yetu ya enzi za Idd Amin. Mpaka tukifikwa na yale yaliyowakuta hao waliopigwa picha kwenye thread hii, ndipo tutatambua kwamba kumbe tunadanganywaaaaaaa! Kushituka tutakuta mwenye nchi huyooooooooo uarabuni! Tutabakia kuulizana maswali pasipo mtu wa kutupatia ukweli.

Ogopa kuwa masikini wa kufikiri.
 
Mbona picha zinaonesha kuna madakitari wanapita na wahudumu wa afya (nurses/wauguzi) wapo, au hii ni picha ya hospital mpya ya rufaa Lugalo?
 
Hii ndio hali ilivyo katika wodi za Muhimbili, pamoja na serkali kudai huduma kurejea kama kawaida.
Waandishi wa habari wanaweza kwenda kuwahoji wagonjwa wodi za SewaHaji ground floor.
attachment.php

Hapa ni mlango wa kutokea nje ya wodi
attachment.php

Juu: Hii ni korido inayounganisha wodi mbili
attachment.php

Baadhi ya wagonjwa walolala chini wakiwa hawana hata magodoro ya kulali
a.
attachment.php

Baadhi ya wauguzi wakiendelea kutoa huduma katika mazingira magumu
attachment.php

Hapo ni mwaisela

Duh si mchezo...... sasa wingi huu na mgomo baridi unaoendelea.... vipi yale mafriji ya mochwari hawajalaza chini kweli??
 
Duh si mchezo...... sasa wingi huu na mgomo baridi unaoendelea.... vipi yale mafriji ya mochwari hawajalaza chini kweli??
Once dead always dead.
Hawa wazima ambao something can be done to save their lives, to save them from posssible lifelong deformities, are in the very right tract to exit from the end of tunel either dead or lame.
 
si siri viongozi wa ccm si watu,thats why kutesa watu(Dr S Ulimboka na wengine),kuuwa watu mbalimbali kwao sio issue ndio mfumo wao wa maisha tunapaswa kuungana kuayaondoa haya.so sad!
 
Mbona picha zinaonesha kuna madakitari wanapita na wahudumu wa afya (nurses/wauguzi) wapo, au hii ni picha ya hospital mpya ya rufaa Lugalo?
Mkuu umeambiwa hapo ni muhimbili.
Sewahaji na mwaisela.
unaweza fika ujionee mwenyewe.
Madaktari wapo but they simpy dont work.
And they get their monthly wage.
life goes on.
Nani wa kulaumu?
 
si siri viongozi wa ccm si watu,thats why kutesa watu(Dr S Ulimboka na wengine),kuuwa watu mbalimbali kwao sio issue ndio mfumo wao wa maisha tunapaswa kuungana kuayaondoa haya,if you love ccm u should have analysis of your hujmanty and religionisim.so sad!
Serikali ifanye utaratibu hawa wagonjwa wakatibiwe India kuliko kutaabika hapa tanzania kana kwamba wako zaidi ya jela.
 
You are very right Sir. Lakini wakati Mwenge Jazz Band wanaimba wimbo wa "Joka limeingia nyumbani, joka hilo ni nduli iddi amini eeeeh...." Idd Amin mwenyewe alikuwa anakunywa mvinyo 'VODCA" kwenye kiti cha kuzunguka uani kwake yenye bustani na bwawa la kuogelea, akichezesha kichwa, kiuno, miguu na vimwana pembeni. Ameshiba na ulinzi uliomzunguka usipime! Hata Mahfudh alipoingia na kuketi naye mezani kumserve chakula akalazimika kuongea na Mwalimu JKN kwa simu aliyolazimishwa kupiga na kusema kwamba "Nimetubu waambie wasiniue" Kumbe alikuwa anajua kila kitu kinachoendelea watu wakifa hovyo kwa vita ya kipuuzi aliyoianzisha, akadhani yeye ni salama sana. Kushituka, Hamad! Watanzania JWTZ wako lango kuu, akatokea mlango wa nyuma na kukimbilia Jinja kisha huyoooooo uarabuni alikojifia. Yalitokea hayo kwa msaada wa wananchi wake aliokuwa anawadanganya kwamba yeye ni mfalme wa Scotland akaamini wote ni wajinga wanamkubali, lakini wapo waliowaonyesha njia watanzania ya kufikia lango kuu. SIna hakika kama aliondoka amevaa chupi akikimbia na kuacha vimwana maridadi bila kuviaga kwa busu. Tanzania tunatamani kitengeneza Uganda yetu ya enzi za Idd Amin. Mpaka tukifikwa na yale yaliyowakuta hao waliopigwa picha kwenye thread hii, ndipo tutatambua kwamba kumbe tunadanganywaaaaaaa! Kushituka tutakuta mwenye nchi huyooooooooo uarabuni! Tutabakia kuulizana maswali pasipo mtu wa kutupatia ukweli.

Ogopa kuwa masikini wa kufikiri.
Sleeping hills will one day wake up!
 
Mkuu nilitaka tu kupata assurance, maana hii government yetu ina masikio yasiyosikia kitu chochote, and kwa forums kama hizi wanaweza kusikia na kuona, maana nao wanaweza kusema ni uongo - na hizo picha ni za kutengeneza tu, na ni za hospital ingine, nadhani umenipata na wao wamesikia na kupata uhakika au nao waende kupata ukweli

Mkuu umeambiwa hapo ni muhimbili.
Sewahaji na mwaisela.
unaweza fika ujionee mwenyewe.
Madaktari wapo but they simpy dont work.
And they get their monthly wage.
life goes on.
Nani wa kulaumu?
 
Mkuu nilitaka tu kupata assurance, maana hii government yetu ina masikio yasiyosikia kitu chochote, and kwa forums kama hizi wanaweza kusikia na kuona, maana nao wanaweza kusema ni uongo - na hizo picha ni za kutengeneza tu, na ni za hospital ingine, nadhani umenipata na wao wamesikia na kupata uhakika au nao waende kupata ukweli
Noted bdo
 
Tuligoma Raia mkatuona hamnazo tena wengine mnadiliki kusema tunadai posho na mshahara suala la mazingira bora ya kazi mkasema ni gelesha tu sasatumefutiwa leseni za muda tupo kitaa tunapiga parttime,wananchi mlitakiwa kuwa nyuma yetu sisi tulilianzisha nyie mngefuata kukaabarabarani kudai huduma bora za afya kwa yule mliyemuajiri kwa kura zenu mkajifanya kunyuti tu sasamtakula jeuri yenu,3Dr JK yeye anakaa hewani tu kaa popo leo London kesho Washington haya sasatuone siasa kwenye utaalamu.
 
Jana nilipita hapo hospitali kumwona ndugu mmoja mgonjwa, inasikitisha kwa kweli...Kwanza hakuna madaktari wa kutosha. Kwa wiki moja mgonjwa aliyelazwa anaonana na Daktari mara moja ama mara mbili tu. Pili, mgonjwa akiandikiwa dawa...inakuja kutolewa baada ya siku tatu.

Inasikistisha....Kwa mara ya kwanza niliogopa kuumwa!!
 
Back
Top Bottom