Ogopa ma senior bachelor

Hahahahahah
 
Hapa Lemutuz ndiye Rais wa mabachelor, yupo field Marshall
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji12] [emoji125] Dah mtani wanikenja..yani nimecheka balaa.
Ujue mtani huyu mzee mwenzangu huwa anajawa busara sana linapokuja suala la kushauri kuhusu ndoa huku jukwaani...

Kumbe hata mguu hajatiamo...

But ninamheshimu sana, kama alivyosema "kuishi kwingi ni kuona mengi" nakubali pasina kupepesa macho.
 
Ukute fidimasho sampo hii kaingia sehemu ambayo warembo BADILI TABIA na friends wanabarizi, you could see those stares za kisaluti saluti na kujiweka sawa kamanda kaingia...hahaha....life goes on
 

Kwa kufuata hii rank, mtoa mada anatuchafulia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…