Ogopa ma senior bachelor

Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua.

Mitazamo ya watu ni dynamic, field marshal anaweza kuwa mume na baba mzuri tu.
 
ha ha
haa
 
Yes meen, hakuna kubeba matatizo ya mtu mwingine wala stress zisizo za lazima mi pia napitia unachopitia wewe ila ukweli ni kwamba watu wa aina yetu ni wachoyo sana
kwa maumivu niliyoyapata mm najiunga na hilo chama .
no stress
siangaiki na mtu kama kipepeo.
 
Huo ndio umri mzuri kijana, actually kwangu 28+ ndio ananifaa, hata wakati natafuta ubavu sikushuka chini ya hapo. Vitoto vinasumbua sana...
bora umenitia moyo,nilijua imeshakula kwangu.
 
Teh teh, hata nyie mna ma senior bachelor wengi tu, kuanzia senior bachelor kwenda hadi field Marshall... japo kwangu umri has never been an issue!!
Teh brod darling huo utani sio mzuri teh teh
 
duuh, kumbe nishakuwa senior bachelor🙂🙂, kwani hizi ranking zimeandaliwa na shirika gani?!! anyway wacha niowe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…