Kuhusu Rupia, umegeneralise sana, Nikupe tu hili, Babu yangu Mimi, mzaa mama, alikuwa mganga wa tiba za Asili, Alikuwaga na kopo zima Zimejaa Rupia, alipofariki mwaka 1990, vifaa vyote vya uganga alikabidhiwa Babu mdogo, alivyofariki 1997, akawa Hakuna wa kurithi vile vitu, kila mtoto hakuwa tayari kurithi, labda pia kwakuwa dini ya ukristo ilikuwa imetawala,Hatuna rupiah tena.. Mzigo wote ulishaondoka kumebaki mabaki
Mercury ya mapangoni nayo ni hadithi tu kwa sasa labda huko Amazon unaweza kuipata.. Hakuna uchawi kwenye hiyo mercury na si biashara ya siri kiasi hicho kama unavyoaminishwa.. Nimeingia sana mapangoni, nimefanya sana ushirikina ili walau kupata tone moja lakini holah... Trust me mercury ya asili imebaki kuwa story za kufikirika kama zile za majitu ya kale
Jr[emoji769]
Mkuu, hizi siyo njia ya mkato, Ni sawa na wale wanaoiba huko serikalini si wanapata hela. Huku mtaani na kwenyewe Kuna miundo tofauti ya utafutaji, wapambanaji wanatumia miguu yote miwili, hujui mpira utatokea upande upi ili ufunge goli.Hizi simulizi za humu zinazidi kudhihirisha kuwa sisi wa TZ wengi wetu ni 'wajinga'. Tunapenda au tumelelewa kutaka njia za mkato na miujiza.
Wajanja wapigaji wamegundua fursa na kuzitumia. Kuanzia waganga wa kienyeji hadi wamiliki makanisa mbalimbali.
Kauli ya wajinga ndio waliwao itaendelea kutawala. Tuache kuamini mafanikio yanapatikana kwa njia za mkato.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhusu Rupia, umegeneralise sana, Nikupe tu hili, Babu yangu Mimi, mzaa mama, alikuwa mganga wa tiba za Asili, Alikuwaga na kopo zima Zimejaa Rupia, alipofariki mwaka 1990, vifaa vyote vya uganga alikabidhiwa Babu mdogo, alivyofariki 1997, akawa Hakuna wa kurithi vile vitu, kila mtoto hakuwa tayari kurithi, labda pia kwakuwa dini ya ukristo ilikuwa imetawala,
Utaratibu ukafanyika kwenda kurudishwa vilikotolewa pamoja na kopo la Rupia Zimejaa, ili yasiwepo madhara, kwa Yale maagano ya wazee/ mababu, kwa sisi tulioko.
Yule aliyezirudisha msituni nae alifariki kwasababu ya umri maana ndiye aliyekuwa amesalia. Na taratibu za kurudishwa alikuwa anazijua yeye. Sasa hizi Rupia Kama zinachukuliwa zinaweza kuwa na kazi, au Ni Makapi tu.
Nilipopata akili iliniuma Sana kuwa kumbe tulikuwa na utajiri mkubwa hivi alafu tumeutupa porini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaharibu biashara za watu, acha watu wapewe shule waelimike
Mshana Jr
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji848]Mtanzania anakunyima connection ya kupata video ya xx mpaka umpe pesa, sembuse dili la kuwa millionaire hili halihitaji akili ata macho tuu yanatosha
AcknowledgementMtu anayekushuhudia kwa hakika kuwa mganga fulani ni kiboko. Kuna madalali mpaka kwenye ulozi.
Mtu anayekushuhudia kwa hakika kuwa kapiga pesa ndefu kwenye kamari. Huyu kaumizwa naye anataka akuumize.
Mtu anayekushuhudia kwa hakika kuwa biashara GLND, FOREVER LIVING QNet nk zinalipa sana. Huyu keshapigwa na ana mzigo mkubwa wa bidhaa na hana wa kumuuzia, Ukikubali unalo lake.
Mtu anayekushuhudia kwa hakika kuwa biashara fulani inalipa na faida yake ni chap chap. Huyu hajui ni mropokaji tu naye kasimuliwa.
Mtu anayekushuhudia kwa hakika kuwa fulani kafanikiwa kupitia njia fulani lakini yeye yuko hapo hapo akiwa hohehahe hana mbele wala nyuma. Hizi ni story za vijiweni,
Hii dunia haina shortcut, hakuna pesa za bure. Kila sent lazima uitolee jasho.
Marafiki wa mitandaoni wanaojifanya wako njema na wanataka mshirikiane kufanya ishu ya pesa. Hawa ni matapeli tu, wezi waganga njaa kama wengine tu.
Mtu anayekushuhudia fursa kwa bashasha na lugha za kuvutia jua ya kwamba tayari aneshakuona wewe ni fursa..
Bahati mbaya sana hata baada ya kusoma hii post bado kuna watu watapigwa na watakuja hapa kulalama.. Na wengine watapigwa hapa hapa na wana JF wenzao
Ishu za madini
Ishu za mali ya Mjerumani
Ishu za pesa za majini
Ishu za Freemason
Ishu za utajiri wa kafara
Ishu ya dola za kusafisha
Ishu za madawa, vipuri, vivyago, magari, vyakula na zabuni mbalimbali kupitia UN kwenda kambi za wakimbizi zote hizi ni wizi na utapeli
MAKINIKA, MAKINIKENI, WAJINGA HAWAISHI ILA KUKUMBUSHANA NI ADA.
Jr[emoji3481]
Aisee[emoji848][emoji848][emoji848][emoji258] Niendelee kutafuta Ngekewa itanipa tu hela.Hayo marupia hata sisi tulikuwa nayo na bado mpaka leo kuna wazee vijijini ndani huko wanayo.. Na mengine sio rupiah (rupee) bali ni coins za zamani tuu... Rupiah halisi zimeandikwa neno rupee na mwaka na picha.. Si rupiah zote zenye nguvu bali ni za miaka fulani
Hizo zenu za urithi zilifanyiwa featuring ya ushirikina
Thamani halisi ya rupiah ni kwa ajili ya kuuzwa ulaya na kuwekwa kwenye majumba ya makumbusho kisha zinaandikiwa historia na watu wakiingia humo wanalipa kiingilio
Matumizi mengine ni souvenir na watu wenye pesa na wale wanaopenda kufanya collection ya vitu vya kale ndio hununua..
Rupiah zenye nguvu ya miujiza ni kama hazipo tena huko zilikokuwa zimefichwa.. Watu walishatembea nazo kitambo tuu..
Vijijini kuna story za kudanganyana sana.. Ukimpa mtu wa Kijijini laki moja kwa kitu cha kawaida kabisa hizo habari zitavumishwa mpaka basi
Jr[emoji769]
Aisee[emoji848][emoji848][emoji848][emoji258] Niendelee kutafuta Ngekewa itanipa tu hela.
Utajiri wa free masson- utapeli
Rupia - utapeli
Mercury- utapeli
Forex - utapeli
Hazina za mjerumani - utapeli
Nyoka mwenye vichwa 12 - utapeli
Niendelee kulima, kuvua, biashara, kuchoma dhahabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida ya kubet ipo kwenye bahatiYote uko sahihi isipokuwa la kubet. Mi nina ushuhuda wa aliyepiga pesa ndefu. Suala ni unabet nini na unabetije.
Mkuu usimlaumu huyo kilimo Ni karata as long naye aliingia kwenye kilimo.Ingeweza kukulipa au isikulipe.Kilimo kina pande mbili Tena unapoingia ukae ukijua Hilo.Doooh! Rafiki yangu fulani alinihakikishia kuwa kilimo cha viazi ulaya kinalipa ile mbaya.Basi bwana, tukaandaa mpango mzima na nikamwaga million kadhaa. Kweli tulilima but mvua zimenyesha hadi kero, viazi full kuugua ugonjwa wa mnyauko.Mwisho wa siku mavuno yamekuwa negative na millions zimepotea hivi hivi.
Next time mtu asiniambie sijui upuuzi gani gani unalipa. Kama unalipa dump pesa zako mwenyewe kwenye huo upuuzi ili zikulipe.
Password walipata wapiKuna siku nilikua zangu nyumbani likizo fupi.basi nikiwa sina hili wala lile nilishangaa meseji inaingia kwenye simu yangu frm mamdogo wangu yupo Arusha.Akaniambia amepata matatizo nimsaidie elf 50 kwa mpesa atanirudishia akijisort.nikaamua kumpigia ajabu akawa hapokei.nikapiga kama mara nne nilitaka kumuuliza kama kuna tigopesa maana mimi mpesa yangu nilikua na 2000 tu.wapi?hapokei.
Basi nikamtumia hivyo hivyo atajijua mwenyewe maana simu hapokei.kama nusu saa hivi dadaangu nae ananipigia kuniambia kama mamdogo amekwama lakini nimemsort.nikamwambia basi tumemtumia kwa wakati mmoja.sio kesi.sijakaa sawa mama ananiambia hebu mpigieni mama yenu mdogo mimi nikimpigia hapokei kasema kuna tatizo anaomba hela.apo alarm ikalia.
Nikampigia mume wake.eti mamdogo yuko wapi?akasema sijui maana kanitumia meseji eti amepata shida nirushie elf 50 sasa nikipiga hapatikani.na akipatikana hapokei.tukahisi tumeliwa.muda huo huo na mamdogo akampigia mumewe kumwambia kama kaibiwa simu na anarudi nyumbani.daah heka heka iliopita hapo si mchezo.mbio mpaka kwa
wakala.yangu ilifanikiwa kurudishwa ila zingine zilienda maana alikua anatumia tigo na mimi nilituma tigopesa kwa hiyo ikashindwa kutolewa.ile zile laki moja mpesa za dada na mama zikaliwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana kasema Kuna watu watapigwa Tena kwenye huu uziWho saw forex by ontario coming...
Mind you.. Forex sio uongo na wala si scam, ila kuna wajanja huitumia hyo kuwapiga wengne
Licha ya kuwapiga chenga sioni Mtumishi au Nabii akijigamba Kuponya CoronaCORONA noma, yaani kawapiga chenga MANABII na MITUME yote [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hakuna aliyemwona kabla ya kuanza kazi...Hadi TB JOSHUA aliyemwona Hilary Clinton akishinda Urais [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanakurudisha kwenye zeroMkuu, usizungumze hivyo, hawa jamaa wanajua sana, kwenye hizi biashara au kazi halali. Watu huwa wanafungiwa kipindi. Na huamini Kama kipindi kimefungwa. wanaweza fanya biashara na wewe hata miaka mitatu, kiasi kwamba munakuwa mumedevelop business trust. Watakavyokufungia kipindi hutaamini.
Sent using Jamii Forums mobile app