dubu JF-Expert Member Oct 18, 2011 3,496 3,461 Apr 18, 2012 #2 umembamba utamu. hii picha kama hujaipiga tpa basi itakua uhamiaji.
kingfish JF-Expert Member Apr 15, 2011 571 159 Apr 19, 2012 #5 jeji said: mbona bongo ndio zetu hizo. Click to expand... ni kweli kabisa kuna baadhi wafanyakazi au watumishi wa maofisini hawathamini wateja wao .
jeji said: mbona bongo ndio zetu hizo. Click to expand... ni kweli kabisa kuna baadhi wafanyakazi au watumishi wa maofisini hawathamini wateja wao .
Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member Jan 26, 2012 1,996 615 Apr 19, 2012 #6 Hasa shirika linalotupatia mwanga usiku ni balaa i wish nikainstal UBUNTU kwenye computer zao wehu wale
Hasa shirika linalotupatia mwanga usiku ni balaa i wish nikainstal UBUNTU kwenye computer zao wehu wale
E entale Member Apr 4, 2012 26 2 Apr 19, 2012 #7 duh hiyo kali au ni sehem ya igizo maana kwa hali ya kawaida huwez cheza karata wakati mbele yako kuna watu wanasubiri huduma yako
duh hiyo kali au ni sehem ya igizo maana kwa hali ya kawaida huwez cheza karata wakati mbele yako kuna watu wanasubiri huduma yako
Michael Amon JF-Expert Member Dec 22, 2008 8,775 3,610 Apr 20, 2012 #8 Sio siri huyu mama anastahili viboko.
K kilolambwani JF-Expert Member Dec 3, 2010 395 75 Apr 20, 2012 #9 Kama hajapewa kazi za kufanya afanyenini, alale mezani?
Henge JF-Expert Member May 14, 2009 6,933 1,510 Apr 20, 2012 #10 benk za bongo utasikia HATUNA NETWORK! PUMBAVU ZENU WABONGO HUNA HUJAPEWA KAZI SI UKAOMBE??
mayenga JF-Expert Member Sep 6, 2009 4,118 1,966 Apr 20, 2012 #11 Hapa nadhani utakuwa ubalozi wa India