Ofisi inapangishwa

chuma jr

Member
Oct 17, 2015
84
133
Habari zenu wanajamvi nimekuja jukwaani kutangaza nafasi kama wewe ni muwekezaji au mfanyabiashara ofisi ipo na kila kitu ni ofisi ya uwakala wewe njoo na mtaji wako na kodi ya miez 6 ikipungua hata miezi 4 sio mbaya kila mwezi ni 70k ukifika nakupatia

Laini zote za simu kasoro simu labda ukitaka ntakuuzia ila laini nitakupa sikukodishii wala nini wewe utafanyia biashara ishu ni kwamba sitaki kuifunga ofisi ingawa haijanishinda kuiendesha ni vile vijana wamekuwa pasua kichwa tu sasa kama wewe ni mchakarikaji njoo na kodi njoo na mtaji wako laini zipo, nataka laini zangu zipige kazi ndo ninachohitaji ofisi ina kila kitu kama nilivyotangulia kusema.

Nb. Laini haziuzwi utapigia kazi ukishindwa utaniachia laini zangu zote zina majina yangu hivyo hakuna longo longo laini ikizingua mimi nipo. Ofisi ipo Segerea kwa bibi eneo limechangamka Lipa namba zipo pia wazee wa lipa namba hawatakuruka utawanasa tu.

Umeipenda fursa nipigie

0627218573
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom