Shida aisee!
Wewe siyo yako mkuu?
Mimi bado naongozwa na kikwete na ndo rais wangu wa miaka yote hii ya kwenuWewe siyo yako mkuu?
..tuoneshe na ndani kukojeJengo la Wizara ya Ofisi ya Rais (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) linalojengwa katika Mji wa Serikali jijini Dodoma. Rais John Magufuli amesema wizara hiyo imeshindwa kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo kwa muda uliopangwa hivyo amemtaka Waziri wa Tamisemi, Selemani Jafo na watumishi wa wizara hiyo kuahamia hivyo hivyo
View attachment 1072478
HatariiiView attachment 1072336View attachment 1072337View attachment 1072338View attachment 1072339
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna tofauti kati ya shule ambazo majengo yake ni below average na hiyo ofisi ya TAMISEMI.Kwa Tamisemi ndio mnasema sheria za safety haziruhusu mazingira kam hayo kufanyia kazi,Kwa walimu mnaonaga sawa tu na dharau nyiiingiiiii.....
uoni wapo kwenye mabati hapo
Usalama wa nyaraka za ofisi utakuwaje, computer zitafanyaje kazi, sidhani kama kuna umeme kwenye hayo mabanda!Jengo la Wizara ya Ofisi ya Rais (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) linalojengwa katika Mji wa Serikali jijini Dodoma. Rais John Magufuli amesema wizara hiyo imeshindwa kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo kwa muda uliopangwa hivyo amemtaka Waziri wa Tamisemi, Selemani Jafo na watumishi wa wizara hiyo kuahamia hivyo hivyo
View attachment 1072478
HatariiiView attachment 1072336View attachment 1072337View attachment 1072338View attachment 1072339
Sent using Jamii Forums mobile app