Taasisi, ofisi au kampuni gani nzuri inayofaa kufanyia field, course ya Planning and Management

Kipenseli

JF-Expert Member
Feb 9, 2020
800
1,050
Habari Zenu Wakuu? Natumai nyote mko poa humu. Naomba niende moja kwa moja kwenye lengo la chapisho hili.

Mimi ni Mwanafunzi wa Chuo cha Mipango, Level ya Shahada ya Mipango na Usimamizi Miradi (BDPPM) mwaka wa pili, Kimsingi tunatarajia kufanya field (Mwezi wa 6) ila kwasasa chuo kimetupa option ya kusubmitt maeneo ambayo tutakwenda kufanyia field.

Kutokana na ugumu/ kutokua na connection nimeona ni vyema niweke chapisho hili ili wakuu mnipe experience na muongozo wa kupata maeneo mazuri kwa ajili ya kufanyia field hiyo (iwe Taasisi/ Ofisi/Kampuni).

NB: 1. Eneo la kufanyia field liwe Mkoa wa Dar es Salaam

2.Nina tatizo la usikivu (Hearing Loss), Hivyo katika kampuni/taasisi/ ofisi mtakazoni-suggest kidogo ziwe rafiki kulingana na hii hlli yangu

Naomba kuwasilisha
 
Duh .pole sana aisee ..... kupata field Huwa ni jambo gumu kidogo ...ingekuwa ni dodoma ningekurecomend ukaombe TCB bank soko kuu branch .pale field wanatoa bila magumashi ..
mi nimesoma hapo mipango,,, finance kipind chetu field zilikuw zinasumbua Hadi watu walifanyia ofisi za kata
 
DUH ASEE...DODOMA ITANIWIA VIGUMU NA NINALAZIMIKA KURUDI DAR KUTOKANA NA HALI YA KIUCHUMI
 
Duh .pole sana aisee ..... kupata field Huwa ni jambo gumu kidogo ...ingekuwa ni dodoma ningekurecomend ukaombe TCB bank soko kuu branch .pale field wanatoa bila magumashi ..
mi nimesoma hapo mipango,,, finance kipind chetu field zilikuw zinasumbua Hadi watu walifanyia ofisi za kata
Kiongozi Nina uhitaji pia naomba hiyo connection ya TCB Bank ipo maeneo gan
 
Back
Top Bottom