Ofisi ya CHADEMA Mbeya yachomwa moto usiku wa kuamkia leo

CCM ina mbinu zote za kishetani. Hii ni mojawapo. Kijana, Mbeya ni pagumu kwa hawa mashetani wa lumumba. Kuchoma moto ofisi ndio mbinu iliyobaki; kama ilivyofanyika kule Arusha, napo ni pagumu kweli kweli kwa mashetani wa kijani kutoka lumumba.
 
Hata mm nashangaa mtu mwenyewe anajiscrabu yupo laini laini hilo buti sijui atampigaje huyo mtu?
CCM mbona zao hazichomwi?

CHADEMA mmezidisha upole ndiyo maana hadi nape alikuwepo anasema atapiga mtu buti.

ivi nape anaweza kumpiga ata mkewake kweli?
 
Serikali ya CCM kupitia Jeshi la Polisi ambalo mara kibao limejinasibu kupata taarifa za kiintelijensia za fujo kwenye mikutano ya Cdm limeshindwa kupata taarifa ya Cdm kujichomea ofisi zao ili wapate kiki na kuwachukulia hatua za kisheria?
 
Wewe ------- hujui ulisemalo, Tayari vijiwe vyote washawatambua hao CCM waliopewa hela ya ubwabwa kuchoma ofisi Moto,halafu unakuja na dela lako kuongea utopolo wako hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…