mwakaila
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 1,053
- 157
Duh kuishi Arusha imekuwa bahati?
Akili gani hii loh!!
Ndio huku mambo ni tofauti sana angekua amewahi kufika Arusha namna yake ya kufikiri ingebadilika
Duh kuishi Arusha imekuwa bahati?
Akili gani hii loh!!
mbona umewaheshimu hivyo mkuu? shimo la choo
Ndio huku mambo ni tofauti sana angekua amewahi kufika Arusha namna yake ya kufikiri ingebadilika
Hana akili chafu kama zako mwenyewe ana juta kusema hivyo wewe maskini wa ufahamu sijui unasema nn unatuaibisha magamba wenzako hatunaga maneno machafu namna hii
Ruzuku ambayo ndio ingesaidia kudumu kwa hizi ofisi, BABU na wenzake wanakopeshana kwa ajili ya mambo yao binafsi.
Ruzuku ambayo ndio ingesaidia kudumu kwa hizi ofisi, BABU na wenzake wanakopeshana kwa ajili ya mambo yao binafsi.
Mkuu haya unayo ongea sii kweli unatufanya wana sisiemu tuonekane tumeishiwa mawazo mpaka tunaongea mambo ambayo sio ya kweli au umetumwa na chadema kutuvuruga huku
mgawanyo wa maslahi huo ...... hahahaha akina mawazo wanasaga lami akina babu na machopa tu mpaka mungu kawalaani wakapata kata tatu tu...
kwani hao wanaojitolea si waache jamani? wanasumbukia nini?
Au ndo usukule?
huwezi kujitetea mwenyewe mpaka uvae upande wa upinzani?
###tabia za akina chiku hizi###
nikweli kabisa ngeanza kutamani viroba... gongo....bangi na hata ushoga
nani gamba?
sina akili ndogo kama kifuu cha nazi mie
mkuu anachotaka kujua ni kwanini ofisi hizi mbili ya maji ya chai na kikatii hazifunguliwi, pili anahusianisha kwamba kuna kamgomo kachini chini kinachoendelea kwa viongozi wa kata kutokana na ruzuku kutokuwafikia na kuhusu hili la maendeleo ya jimbo ni hakuna mahusiano na ofisi hizi mbili anachokisema huyu msukule wa ccm.nataka tumjibu hili la ofisi kufungwa nadhani umenipata.tusitumie emotion(hisia) kujenga hoja
Hizi ofisi mbili nazifahamu vizuri, lakini zaidi ya Maji Ya Chai (iliyoko karibu na Lake Jipe). Hii ya Maji Ya Chai kufungwa kwake hakutokani na hizo sababu tajwa
1. Mgomo
2. Pesa
Bali ni kwa sababu;
1. Viongozi wake wawili ni wanafunzi, wako masomoni japo sio mbali, wanafungua kukiwa na uhitaji tu, na sio kukaa tu ofisini muda wote
2. Kata ya Maji Ya Chai inashirikiana na Usa-River kwa mambo mengi sana, pia ya kiofisi. Ni kawaida kabisa kumkuta Mwenyekiti kata ya Maji Ya Chai akiwa Ofisini Mji-Mwema. Kijografia sio mbali na ni sahihi.
Kwahiyo msimpotoshe watu kuwa kuna mgomo, haupo na hautokei. Wasaliti hawana Nguvu yeyote upande huo, japo mmoja dates a girl huko.
Kikatiti: Kikatiti CDM bado inajijenga, ni changa sana, wameru na waarusha wa kule bado wametekwa na CCM, misamaha midogomidogo ya Kodi, vibali vya kusafirisha mifugo kwa bei rahisi. Kusamehewa faini, kusamehewa Ushuru sokoni.
Mradi wa maji wa ADRA kugeuzwa ni zawadi ya Kisiasa etc.
Ikumbukwe hata CCM ikitakaga kuanzisha maandamano ya amani kama wanavyoyaita, hufanyia Kikatiti.
Kikatiti CDM kwa hatua ilofikia tu ya kupanga ofisi ni ya kupongeza, na itasonga mbele.
Ulidhani CHADEMA ni kijiwe cha wapiga dili kama ccm!? Twende Kalenga, afu si umeahidi KUTOA CHOCHOTE kama kawaida yako..!?
Asante sana mkuu nipo dar kwa sasa ila nikija Arusha ntakutafuta upate walau maji
Najua huja bahatika kuishi Arusha kwa kweli mambo hapa ni tofauti sana weka ushabiki pembeni twende kwa facts
kwa taarifa yako mimi nimeishi arusha na nimesoma arusha sec,machalii wa arusha nawajua vizur sana, hakuna kitu wanachowaza zaidi ya bange, gongo,nyagi na gomba, nimefanya sana biashara ya madini hapo mitaa ya ottu na mererani, nenda zaire mererani uone wanaapolo walivyopagawa na gongo na bange, lema mbunge wao ameshindwa kabisa kuwasaidia zaidi ya kuwalazimisha waandamane kwa maslahi yake binafsi, wanatia huruma sana machalii wa arusha, mabroker feki wa madini wanawatapeli sana madini hawa wanaapolo, matajiri wote wa madini wa arusha ni matapeli, wakina Sunda,kanunga,ray, abas marenji, papa king, jango master,matias, na mabroker feki wa hapo ottu wanawatapeli sana madini machalii wa arusha
vipi uko na nassary dar mnakula bata na warembo?