Ofisi ya CHADEMA Kata ya Maji ya Chai - Arusha yafungwa...

We zumbukuku ficha upumbavu wako,mpaka juzi Nassary alikuwa jimboni kwake akisaidiana na wananchi kulekebisha barabara na baadae aliendesha kampeni ya kupanda miti jimboni kwake hii si kwamba nimesimuliwa bali nimemshuhudia mwenyewe ktk taarifa ya habari itv

Ni vema jambo kama hulijui usiliseme na kupotosha watu. Ktk wabunge wanaokaa jimboni kwao na kushiriki kazi mbali mbali na wananchi wao Nassary ni number one mimi binafsi nawaonea wivu watu wa jimbo hilo halafu kimbulukutu ka wewe unakuja kupotosha watu hapa.......!!。。,Sen..zi

mkuu maudhui ya mada ni kufungwa kwa ofisi ya maji ya chai mnatuabisha wapambanaji wenzangu tutaonekana kichwani ni hewaa,umejadili sicho
 
Kama ruzuku hazitaongezwa kwenye wilaya na majimbo,ni vigumu sana viongozi wa kata kujaliwa.Mf kuna wilaya zinapata sh 75,000 kwa mwezi,unategemea wataweza vip kutembelea kata zao,huku wakitakiwa kulipia pango la ofisi ya wilaya?
 
Mandla Jr. Fedha za RUZUKU za CHADEMA zinatumbuliwa na JOYCE MUKYA na JOSEPHINE wanakula raha DUBAI
 
Last edited by a moderator:
mkuu maudhui ya mada ni kufungwa kwa ofisi ya maji ya chai mnatuabisha wapambanaji wenzangu tutaonekana kichwani ni hewaa,umejadili sicho
Mkuu
Si kwamba mada hatujaiona bali nilikuwa naweka sawa upotoshaji ulio tolewa na huyo kisebengo hapo juu sasa haijalishi mada ilikuwa inasema nini,kama kuna upotoshaji unawekwa sawa na mada inakuwa kwenye mstari.

Halafu na wewe hivi kunauhusiano gani kati ya kufunga office ya chama na maendeleo jimboni?
Mbona hujamweka sawa huyo alieanza kutoka nje ya mada badala yake unakuja kutulekebisha sisi tuliomkosoa bado sijajua malengo yenu hivi hujajisumbua hata kidogo kujua sababu ya ofisi kufungwa hapo kijijini badala ya kuna kutuwekea thread humu jf.?
 
Mandla Jr. Haujajitambulisha unatoa ushauri kama mwana-CHADEMA au mtanzania wa kawaida, usije ukaambulia matusi toka kwa misukule na virobalists wa chama chako
 
Last edited by a moderator:
We zumbukuku ficha upumbavu wako,mpaka juzi Nassary alikuwa jimboni kwake akisaidiana na wananchi kulekebisha barabara na baadae aliendesha kampeni ya kupanda miti jimboni kwake hii si kwamba nimesimuliwa bali nimemshuhudia mwenyewe ktk taarifa ya habari itv

Ni vema jambo kama hulijui usiliseme na kupotosha watu. Ktk wabunge wanaokaa jimboni kwao na kushiriki kazi mbali mbali na wananchi wao Nassary ni number one mimi binafsi nawaonea wivu watu wa jimbo hilo halafu kimbulukutu ka wewe unakuja kupotosha watu hapa.......!!。。,Sen..zi

huyo nassary unaesema yuko jimboni kwake juzi nilikuwa nae hapa dar rose garden yuko na warembo anakula bata tu, na jana alikuwa samakisamaki.
 
Mkuu
Si kwamba mada hatujaiona bali nilikuwa naweka sawa upotoshaji ulio tolewa na huyo kisebengo hapo juu sasa haijalishi mada ilikuwa inasema nini,kama kuna upotoshaji unawekwa sawa na mada inakuwa kwenye mstari.

Halafu na wewe hivi kunauhusiano gani kati ya kufunga office ya chama na maendeleo jimboni?
Mbona hujamweka sawa huyo alieanza kutoka nje ya mada badala yake unakuja kutulekebisha sisi tuliomkosoa bado sijajua malengo yenu hivi hujajisumbua hata kidogo kujua sababu ya ofisi kufungwa hapo kijijini badala ya kuna kutuwekea thread humu jf.?

Ukisikia akili matope ndiyo hizi, hakuna uhusiano kati ya kufungwa kwa ofisi na maendeleo jimboni? kazi kweli kweli.
 
Fedha za RUZUKU za CHADEMA zinatumbuliwa na JOYCE MUKYA na JOSEPHINE wanakula raha DUBAI

Mshumbuzi yeye anakuwa anatanua tu kule JAPAN. Kuna siku nilikuona kapanda bonge mpikipiti anakatisha kati kati ya jiji la TOKYO.
 
Mkuu
Si kwamba mada hatujaiona bali nilikuwa naweka sawa upotoshaji ulio tolewa na huyo kisebengo hapo juu sasa haijalishi mada ilikuwa inasema nini,kama kuna upotoshaji unawekwa sawa na mada inakuwa kwenye mstari.

Halafu na wewe hivi kunauhusiano gani kati ya kufunga office ya chama na maendeleo jimboni?
Mbona hujamweka sawa huyo alieanza kutoka nje ya mada badala yake unakuja kutulekebisha sisi tuliomkosoa bado sijajua malengo yenu hivi hujajisumbua hata kidogo kujua sababu ya ofisi kufungwa hapo kijijini badala ya kuna kutuwekea thread humu jf.?

mkuu anachotaka kujua ni kwanini ofisi hizi mbili ya maji ya chai na kikatii hazifunguliwi, pili anahusianisha kwamba kuna kamgomo kachini chini kinachoendelea kwa viongozi wa kata kutokana na ruzuku kutokuwafikia na kuhusu hili la maendeleo ya jimbo ni hakuna mahusiano na ofisi hizi mbili anachokisema huyu msukule wa ccm.nataka tumjibu hili la ofisi kufungwa nadhani umenipata.tusitumie emotion(hisia) kujenga hoja
 
Fedha za RUZUKU za CHADEMA zinatumbuliwa na JOYCE MUKYA na JOSEPHINE wanakula raha DUBAI

kamanda lema yupo huko arusha moshi hatuna shaka,tunajipanga bangamoyo sasa
 
Wadau wa JF,

Ofisi ya CHADEMA kata ya Maji ya Chai Arusha hatimaye imefungwa rasmi bila kuwepo taarifa rasmi juu ya hatua hizo kutoka kwa Uongozi wa Wilaya wala Mkoa.

Wamekwenda mbali mpaka kubadili rangi ofisi hiyo iliyokuwa ikitumiwa na CHADEMA.

Cha ajabu pia hata katika kata ya Kikatiti Arusha pia ofisi haifunguliwi na huenda ndio mgomo umeanza taratibu kuelekea kuifunga ofisi hiyo.

Kumekuwepo na malalamiko ya muda mrefu sasa kutoka kwa watendaji wa ngazi ya kata wa CHADEMA juu ya kutokuthaminiwa na viongozi wao wa Wilaya, Mkoa na Taifa kwa ujumla.

Chadema hili si la kulipuuza bure,,, linahitaji kufanyiwa kazi.

Mandla,
Mjukuu wenu.
Mjukuu wenu ACHA KUDAGANYA UMMA, HAIJAFUNGWA ILA IMERUDISHIWA TUU, NA HAJABADILISHWA RANGI...WAFUNGE YA NINI NA WAKATI HILI ENEO KODI HAIZIDI HATA 30,000??? Nyumba za kawaida za kupangisha kodi sh 7,000/= ngoja niilambe picha nikutupie
 
Asanteeeee
 
huyo nassary unaesema yuko jimboni kwake juzi nilikuwa nae hapa dar rose garden yuko na warembo anakula bata tu, na jana alikuwa samakisamaki.
Acha kupotosha jukwaa hiyo juzi unayosema ulikua na nassari rose garden,sisi tulikua tuna tengeneza nae barabara huku sing'isi
nassari 1.jpg
"Jana tulifanya kazi za mikono za kurekebisha maeneo korofi kwenye barabara ya singisi kwa kushirikiana na vijana wa singisi, kabla ya msimu wa mvua kukolea. Nilimwaga vifusi na vijana wakajitolea kufanya kazi. Baada ya kazi kama kawaida tulichinja mbuzi wawili na soda kreti 12 tukala lunch field. Vijana wapo tayari kujitoa kwa ajili ya taifa lao, wanachohitaji ni mwongozo na kutiwa moyo".
na hichi ndicho alichokipost nassari kwenye fb page yake "
 
mkuu anachotaka kujua ni kwanini ofisi hizi mbili ya maji ya chai na kikatii hazifunguliwi, pili anahusianisha kwamba kuna kamgomo kachini chini kinachoendelea kwa viongozi wa kata kutokana na ruzuku kutokuwafikia na kuhusu hili la maendeleo ya jimbo ni hakuna mahusiano na ofisi hizi mbili anachokisema huyu msukule wa ccm.nataka tumjibu hili la ofisi kufungwa nadhani umenipata.tusitumie emotion(hisia) kujenga hoja

Kwanini tujadili mambo ya uongo tubadili kwanza uongo uwe ukweli then tuanzie apo.......sio kupokea pokea kila taarifa
 
Acha kupotosha jukwaa hiyo juzi unayosema ulikua na nassari rose garden,sisi tulikua tuna tengeneza nae barabara huku sing'isi
View attachment 139137
"Jana tulifanya kazi za mikono za kurekebisha maeneo korofi kwenye barabara ya singisi kwa kushirikiana na vijana wa singisi, kabla ya msimu wa mvua kukolea. Nilimwaga vifusi na vijana wakajitolea kufanya kazi. Baada ya kazi kama kawaida tulichinja mbuzi wawili na soda kreti 12 tukala lunch field. Vijana wapo tayari kujitoa kwa ajili ya taifa lao, wanachohitaji ni mwongozo na kutiwa moyo".
na hichi ndicho alichokipost nassari kwenye fb page yake "

hii picha ni ya zamani sana, nassary yuko dar anakula bata na warembo
 
Back
Top Bottom