Ofisi ya CHADEMA Kata ya Maji ya Chai - Arusha yafungwa...

Ofisi ya CHADEMA Kata ya Maji ya Chai - Arusha yafungwa...

Nini Sombetini?? Hata Njonbe mjini CXM ilipata kura. Chadema ipo kwenye mioyo ya watanzania, ofisi ni kijiwe tu. Huwezi ukafunga ofc na mioyo vyote kwa pamoja.

Besides, Sombetini ilikuwa ni kata ya CCM

Nyie jidanganyeni tu. Mtabaki kulia, "Ooh, tumeibiwa kura, mbona watu walikuwa wengi mikutanoni," wenzenu wanajipanga.
 
Kama ruzuku hazitaongezwa kwenye wilaya na majimbo,ni vigumu sana viongozi wa kata kujaliwa.Mf kuna wilaya zinapata sh 75,000 kwa mwezi,unategemea wataweza vip kutembelea kata zao,huku wakitakiwa kulipia pango la ofisi ya wilaya?

Kama ruzuku ikiwa 75,000 wakodi ofisi ya 50,000. Tatizo cdm wamezoea watu watoe nyumba zao na
viwanja vyao wao watumie bureeee. Hawa jamaa wanapenda sana dezo.
 
Ukweli ndio huo,,Ofisi nyingi za chadema zimebaki na rangi tu, nyingine hazina hata bendera.
 
Mbunge hana uwezo wa kupeleka maji kwa wananchi ww sema serikali imesikia kilio cha mbunge na kupeleka maji kwa niaba ya wananchi. Unajua miradi hiyo ya maji imeghatimu bei gani? Je muulize mbunge wsko kama fedha hizo anazo au aluwahi kuota kuzipata. Acha ushabiki bila tafakuri mzee

hata hiyo serikali unayoisema haina uwezo wa kuchimba visima,ni mkopo wa WB utakaolipwa na kodi zetu.
Mburula mkubwa we!
 
Mjukuu wenu ACHA KUDAGANYA UMMA, HAIJAFUNGWA ILA IMERUDISHIWA TUU, NA HAJABADILISHWA RANGI...WAFUNGE YA NINI NA WAKATI HILI ENEO KODI HAIZIDI HATA 30,000??? Nyumba za kawaida za kupangisha kodi sh 7,000/= ngoja niilambe picha nikutupie

Kaka acha ubishi wa kitoto. Hiyo ofisi tumefika hapo jana, na imefungwa. Iko Maji ya chai baada ya kupita kwa wasabato kama
unakwenda Moshi. Imefungwa na walikataa tusipige PICHA eneo hilo.
 
nimepita saa nne haijabadilishwa rangi niambie imebadirishwa muda gani..
 
Hao chadema wahuni wahuni tuh,dont take them seriously

Lile danguro ufipa nalo litafungwa soon,si umeskia washaanza kulalama kuwa mafisadi wa ccm wanataka kulitia moto?waache wauane,ccm na chadema wote wana case ya kujibu kwetu,ole wao.
 
nimepita saa nne haijabadilishwa rangi niambie imebadirishwa muda gani..

Duuh, sikutegemea jibu hilo kutoka kwako. Kweli cdm kuna mizigo..Hebu nenda upya kaiangalie.
si ajabu hata huijui. Mkuu elimu yako ni ya kiwango gani???
 
Hao chadema wahuni wahuni tuh,dont take them seriously

Lile danguro ufipa nalo litafungwa soon,si umeskia washaanza kulalama kuwa mafisadi wa ccm wanataka kulitia moto?waache wauane,ccm na chadema wote wana case ya kujibu kwetu,ole wao.

Ofisi nyingi za kwao ni za mfukoni...
 
Hao chadema wahuni wahuni tuh,dont take them seriously

Lile danguro ufipa nalo litafungwa soon,si umeskia washaanza kulalama kuwa mafisadi wa ccm wanataka kulitia moto?waache wauane,ccm na chadema wote wana case ya kujibu kwetu,ole wao.

Zitto ametimuliwa CDM kama Mbwa
 
Back
Top Bottom