Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,580
Na bado hamushtuki hata kidogo kura za CCM zilizopatikana Sombetini? Mkilala kidogo 2015 hamna chenu huo ndio ukweli!
Siyo huko pekee hapa Singida ofisi ya CDM imefungwa miezi minne sasa kila nikienda pale Rwezaura pub naona kufuli kubwa! Huko Iramba ndio hakuna kabisa tangu Dr Kitila aondolewe CDM wamesambaratika kabisa!
Na baado! Mwambie Mbowe sisi hatuna cha kukusaidia kwani ADUI mwombee njaa!
Uliahidi kwamba chadema wakishida Sonbetini utakunya barabarani. vipi ulitekeleza mkuu?