Mandla Jr.
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 3,098
- 631
Wadau wa JF,
Ofisi ya CHADEMA kata ya Maji ya Chai Arusha hatimaye imefungwa rasmi bila kuwepo taarifa rasmi juu ya hatua hizo kutoka kwa Uongozi wa Wilaya wala Mkoa.
Wamekwenda mbali mpaka kubadili rangi ofisi hiyo iliyokuwa ikitumiwa na CHADEMA.
Cha ajabu pia hata katika kata ya Kikatiti Arusha pia ofisi haifunguliwi na huenda ndio mgomo umeanza taratibu kuelekea kuifunga ofisi hiyo.
Kumekuwepo na malalamiko ya muda mrefu sasa kutoka kwa watendaji wa ngazi ya kata wa CHADEMA juu ya kutokuthaminiwa na viongozi wao wa Wilaya, Mkoa na Taifa kwa ujumla.
Chadema hili si la kulipuuza bure,,, linahitaji kufanyiwa kazi.
Mandla,
Mjukuu wenu.