Ofisi ya CHADEMA Kata ya Maji ya Chai - Arusha yafungwa...

Ofisi ya CHADEMA Kata ya Maji ya Chai - Arusha yafungwa...

Chadema ni genge la wahuni na wasanii,including wezi wa magari na wanywa gongo (viroba) ambao wanaishi kwa ujanjaujanja na kupiga dili.
 
Chadema ni genge la wahuni na wasanii,including wezi wa magari na wanywa gongo (viroba) ambao wanaishi kwa ujanjaujanja na kupiga dili.

Hii text utakua umei save maana nadhani utakua umeituma mara ya 17 kama sikosei
 
Zooooote hizo ni story za kuambiwa Arusha unayo izungumza wewe ni ya kufikirika tu haipo kwenye existence

we jidanganye tu,huo ndio ukweli wenyewe, tatizo watu wa arusha ni wabishi sana, bange zimewaharibu sana akili
 
Hebu fuatilia vizuri tena kwa aliyelupa habari hizi umuulize tena kama hao watu wote uliowataja bado wanaishi arusha au vipi na kuna wengine umewataja hata sio mabroker dada angu

we anti biashara unayofanya pale shiverz na mrina imekutia uchizi
 
Kweli nimepita apo maji ya chai muda wa saa 8 na dakika 48 mchana huu nimeona pale palipokua na ofisi hakuna tena ile Nyumba iliyokua na rangi za chadema sasa hivi ni rangi ya maziwa kote lazima nikahoji kuhusu hili
 
chadema arumeru imeshakufa, watu wamekata tamaa kabisa, ahadi zote alizoahidi nassary hamna hata moja aliyotekeleza, nassary kawaingiza chaka wana arumeru
 
Yatafungwa matawi na misingi yote lakni ukombozi ni lazima, CCM haitapona kwa CDM kufunga matawi yake, la hasha.
 
Back
Top Bottom