Ofisi ya CAG ilikuwa wapi ktk huu ufisadi nchi nzima?

Patriot

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2008
Posts
5,753
Reaction score
4,865
Nimeanzisha uzi huu ili kila aliye na utaalamu, atueleze ni jinsi gani ofisi ya CAG inavyofanyakazi zake.
Bodi ya mikopo kulikuwa na madudu, vyuoni madudu, wizarani madudu.
Mambo ya ndani madudu: Lugumi, Vitambulisho, Uniform, ....
Huko wizara ya Kilimo: tusubiri skandali za vocha na ruzuku
Iliyokuwa wizara ya Sayansi: TCRA madudu, sijui COSTECH kukoje? Na vyuoni kwao kule Mandela madudu.
Waiziri mkuu na tamisemi zao madudu na sukari yao madudu tupu!

Wakati haya yanatokea, CAG alishajiwekea kitu kinaitwa value for money. Kwa mfano wa wanafunzi hewa, nilitegemea awakague vyuoni na bodi ya mikopo kuona kama matumizi yao yanaendana na idadi ya wanafunzi. Value for money.
Majengo yanayojengwa na mifuko ya jamii na daraja mashuhuri la Kigamboni, nilitegemea aone madudu yao pia.

Najiuliza ofisi hiyo ina mapungufu gani ya kitaalamu kiasi kwamba sasa ndo mambo yanafumuka nje ya ripoti yao?
 
Viwango vya ubora vinaposhuka ktk nchi, hayo yanatokea ktk kila nyanja! Rais unapata mbovu, waziri mbovu, mbunge mbovu, CAG mbovu, Mwalimu Mbovu, Askari mbovu, ....... you name it. Ripple effect.

Akijitokeza aliye na ubora wa juu anaonekana abnormal na ataondolewa tu!
 
Valid question
And this time they are underbudgeted sijui ndo itakuwaje
Hope, wamefanya makusudi kwa kuona hakuna manufaa yoyote. Kumbuka yule aliyeondoka alijidai kujenga ofisi mikoani eti ili asiwe mpangaji ktk majengo ya wale anaowakagua. Nadhani ilikuwa dili tu!
 
hio kweli hata kwenye hizi hamashauri eti kazipa hati safi yaani wanawacheka kwa halmashauri nyingi wanasema hawajawahi ona vilaza kama ofice ya CAG aisee yaani kwa jinsi inchi ilivyochoka hii huto tuvitu ambato CAG anatoa ni twakawaida sana hata mtu ambe hata knowledge ya ukaguzi angeweza sema lakini kazi yenyewe inayohitaji utaalamu hawafanyi au hawajui huwezi enda kwa halmashauri bila kufanya ukaguzi wowote unaenda kwa intenal auditor wa halmashauri unachukua report yake ndio unaitumia kama CAG sasa hio maana yake ni nini what do you expect hao jamaa watakupa repor ya kweli then hakuna haja ya kuwa na external aditor by law au accouting standard kwa nini wasikae kule wafanye hioAuditing mpaka wajiridhishe Auditing need testing of everything kuona kwa macho so kusimuliwa internal Auditor ni teammoja na wakurugenzi na DT mhasibu mkuu wa halmashauri unategemea watakua report ya kweli hii sio sawa

Ushauri: kwa halmashauri huku ndiko ambako hela nyingi ya serikali inaendda CAG anatakiwa kuwa na office/ mtu wao ambae hayupo kwenye system ya halmashauri na hajaajiriwa na mkurugenzi yeye ni independent kama hilo neno linavyo jieleza AU CAG ukifika muda wa ukaguzi team zao zihamie kwenye hamashauri kukagua waache longlongo za kusimuiwa na kuchukua tuvitabu tuwli kama evidence then hao wanainua wanajiandikia posho ya mwezi kumbe wamefanya kazi siku moja
 
hio kweli hata kwenye hizi hamashauri eti kazipa hati safi yaani wanawacheka kwa halmashauri nyingi wanasema hawajawahi ona ****** kama ofice ya CAG aisee yaani kwa jinsi inchi ilivyochoka hii huto tuvitu ambato CAG anatoa ni twakawaida sana hata mtu ambe hata knowledge ya ukaguzi angeweza sema lakini kazi yenyewe inayohitaji utaalamu hawafanyi au hawajui huwezi enda kwa halmashauri bila kufanya ukaguzi wowote unaenda kwa intenal auditor wa halmashauri unachukua report yake ndio unaitumia kama CAG sasa hio maana yake ni nini what do you expect hao jamaa watakupa repor ya kweli then hakuna haja ya kuwa na external aditor by law au accouting standard kwa nini wasikae kule wafanye hioAuditing mpaka wajiridhishe Auditing need testing of everything kuona kwa macho so kusimuliwa internal Auditor ni teammoja na wakurugenzi na DT mhasibu mkuu wa halmashauri unategemea watakua report ya kweli hii sio sawa

Hakika! Hiyo ofisi ina vijana ambao hawaendi kukagua, wanakwenda kutikisa ili walipwe accordingly. Sasa kama mtu yupo kwa siku tatu halafu anadai kakagua kwa mwezi mzima! Dah! Ukiona pilikapilika zao na wahasibu wakati wa ukaguzi ndo utajua hakuna ukaguzi, kuna kusawazishana. Wanatengewa hata budget ya lunch na hoteli, usafiri, nk. ukiuliza, kuna wakaguzi.

Hakika serikali ilikuwa hoi!
 
Nimeanzisha uzi huu ili kila aliye na utaalamu, atueleze ni jinsi gani ofisi ya CAG inavyofanyakazi zake.
Bodi ya mikopo kulikuwa na madudu, vyuoni madudu, wizarani madudu.
Mambo ya ndani madudu: Lugumi, Vitambulisho, Uniform, ....
Huko wizara ya Kilimo: tusubiri skandali za vocha na ruzuku
Iliyokuwa wizara ya Sayansi: TCRA madudu, sijui COSTECH kukoje? Na vyuoni kwao kule Mandela madudu.
Waiziri mkuu na tamisemi zao madudu na sukari yao madudu tupu!

Wakati haya yanatokea, CAG alishajiwekea kitu kinaitwa value for money. Kwa mfano wa wanafunzi hewa, nilitegemea awakague vyuoni na bodi ya mikopo kuona kama matumizi yao yanaendana na idadi ya wanafunzi. Vale for money.
Majengo yanayojengwa na mifuko ya jamii na daraja mashuhuri la Kigamboni, nilitegemea aone madudu yao pia.

Najiuliza ofisi hiyo ina mapungufu gani ya kitaalamu kiasi kwamba sasa ndo mambo yanafumuka nje ya ripoti yao?

hii ofisi huwa inatafuna MABILIOn lakin kwa kweli huwa haina UMUHIMU kiivyo kama ilivyo takukuru, halafu huyu profesa alitaka atongezewa badget ,
 
Kuna wakati niliwaza kuwa ofisi ya CAG inakula na wale wanaotakiwa kukaguliwa.
Kuna ofisi ambazo unajua kabisa ni wezi kupita maelezo halafu mwisho wa ukaguzi unakuta wanapewa hati safi.
Hata hivyo, wizi unaoendelea au uliokuwa unaendelea nchi nzima ni mkubwa kuliko ofisi ya CAG.
 
CAG ALISEMA "SERIKALI ILIKUWA NA MADALALI WENGI SANA"! Pengine sasa idadi ya MADALALI imepungua!
 
Wakuu walau tupie ripoti za zinazopatikana kwenye website yao ya www.nao.go.tz.
Walau tujiridhishe kuona kama ripoti zao ni za uzushi.
Ila kiukweli wanapaswa kujitathimini kwakuwa mambo mengi ambayo yanatokea sasa walipaswa kuyajua kabla.
 
Tulizo
Nimeanzisha uzi huu ili kila aliye na utaalamu, atueleze ni jinsi gani ofisi ya CAG inavyofanyakazi zake.
Bodi ya mikopo kulikuwa na madudu, vyuoni madudu, wizarani madudu.
Mambo ya ndani madudu: Lugumi, Vitambulisho, Uniform, ....
Huko wizara ya Kilimo: tusubiri skandali za vocha na ruzuku
Iliyokuwa wizara ya Sayansi: TCRA madudu, sijui COSTECH kukoje? Na vyuoni kwao kule Mandela madudu.
Waiziri mkuu na tamisemi zao madudu na sukari yao madudu tupu!

Wakati haya yanatokea, CAG alishajiwekea kitu kinaitwa value for money. Kwa mfano wa wanafunzi hewa, nilitegemea awakague vyuoni na bodi ya mikopo kuona kama matumizi yao yanaendana na idadi ya wanafunzi. Vale for money.
Majengo yanayojengwa na mifuko ya jamii na daraja mashuhuri la Kigamboni, nilitegemea aone madudu yao pia.

Najiuliza ofisi hiyo ina mapungufu gani ya kitaalamu kiasi kwamba sasa ndo mambo yanafumuka nje ya ripoti yao?

Tulizowea kufanya kazi kwa mazowea nakuoneana huruma hapo ndipo paliluwa na kifo cha taifa hili. Asante Baba Mungu kumleta Magufuli.
 
Punguzeni Munkali Wakuu
Hivi Mnaposikia Halmashauri Hununua Hati Safi Kwenye Ofisi Ya CAG Mnadhani Huko
Mwingine Kwenye Bodi Na Wizara Nako Wananunua Hati Safi Toka CAG OFFICE
 
Mm napingana na nyie wote hapo huu bilashaka labda kuna issue mmeelekezwa kuitoa lakini ukiangalia haya yote uyaonayo watumishi hewa cag alisharipoti kitambo sana tena kama sikosei alikuwa utouh ila serikali haikuchukua hatua stahiki kwa muda muafaka, issue za loan board utouh alishaziripot, halmashauri nyingi zimejirekebisha kutokana na report za ukaguzi za cag huko nyuma hali ilikuwa mbaya sana, kumbukeni cag aliwahikagua soko la Kariakoo na ubungo terminal tena ulikuwa niukaguzi maalum lakini hadi hii Leo report yake haikutolewa serikali! Kwa ufupi ninachokiona niserikali kuwa kimya au kuchelewa kufanyia kazi mapendekezo ya report ya CAG! Navilevile tuangalia pia primary duty ya cag sio kudetect errors and fraud yeye primary duty yake ni Kutoa independent opinion! Ndivyo tulivyofundishwa huko vyuoni au wenzetu mmepita vyuo gani hewa au? Na nibora tuwaachie wataalum watoe maoni yao kuliko sisi tusionaupeo na ukaguzi Kutoka mapovu kiasi hiki!
 
wote hao wana group za vibaka ndani.

swissme
 
CAG ana lawama ni sawa mahadui wapo mia alafu wewe ndo mpambanaji unazani utatoka
 
1471761051631.jpg
 
hio kweli hata kwenye hizi hamashauri eti kazipa hati safi yaani wanawacheka kwa halmashauri nyingi wanasema hawajawahi ona ****** kama ofice ya CAG aisee yaani kwa jinsi inchi ilivyochoka hii huto tuvitu ambato CAG anatoa ni twakawaida sana hata mtu ambe hata knowledge ya ukaguzi angeweza sema lakini kazi yenyewe inayohitaji utaalamu hawafanyi au hawajui huwezi enda kwa halmashauri bila kufanya ukaguzi wowote unaenda kwa intenal auditor wa halmashauri unachukua report yake ndio unaitumia kama CAG sasa hio maana yake ni nini what do you expect hao jamaa watakupa repor ya kweli then hakuna haja ya kuwa na external aditor by law au accouting standard kwa nini wasikae kule wafanye hioAuditing mpaka wajiridhishe Auditing need testing of everything kuona kwa macho so kusimuliwa internal Auditor ni teammoja na wakurugenzi na DT mhasibu mkuu wa halmashauri unategemea watakua report ya kweli hii sio sawa

Ushauri: kwa halmashauri huku ndiko ambako hela nyingi ya serikali inaendda CAG anatakiwa kuwa na office/ mtu wao ambae hayupo kwenye system ya halmashauri na hajaajiriwa na mkurugenzi yeye ni independent kama hilo neno linavyo jieleza AU CAG ukifika muda wa ukaguzi team zao zihamie kwenye hamashauri kukagua waache longlongo za kusimuiwa na kuchukua tuvitabu tuwli kama evidence then hao wanainua wanajiandikia posho ya mwezi kumbe wamefanya kazi siku moja
Maana ya hatsafi no kuwa tatatibu zote za kihasibu zimefatwa watu wengi wanachanganya maswala ya hati safi au chafu na halmashauli kupata hadara au faida
 
Mm napingana na nyie wote hapo huu bilashaka labda kuna issue mmeelekezwa kuitoa lakini ukiangalia haya yote uyaonayo watumishi hewa cag alisharipoti kitambo sana tena kama sikosei alikuwa utouh ila serikali haikuchukua hatua stahiki kwa muda muafaka, issue za loan board utouh alishaziripot, halmashauri nyingi zimejirekebisha kutokana na report za ukaguzi za cag huko nyuma hali ilikuwa mbaya sana, kumbukeni cag aliwahikagua soko la Kariakoo na ubungo terminal tena ulikuwa niukaguzi maalum lakini hadi hii Leo report yake haikutolewa serikali! Kwa ufupi ninachokiona niserikali kuwa kimya au kuchelewa kufanyia kazi mapendekezo ya report ya CAG! Navilevile tuangalia pia primary duty ya cag sio kudetect errors and fraud yeye primary duty yake ni Kutoa independent opinion! Ndivyo tulivyofundishwa huko vyuoni au wenzetu mmepita vyuo gani hewa au? Na nibora tuwaachie wataalum watoe maoni yao kuliko sisi tusionaupeo na ukaguzi Kutoka mapovu kiasi hiki!
Ukiangalia thrd, inaomba kuelezwa ofisi hiyo ina mapungufu gani. Ktk makosa tunayoyafanya ni kuamini kwamba kila mtu ktk ofisi yake anafanya kazi nzuri sana na hastahili kukosolewa. Ukisema uzembe wake anajilinda kuonyesha perfection yake.

Kwa message yako hii, unajaribu kusema ofisi ile imefanya kazi perfectly, na hakuna kasoro yoyote. Watu wako maofisini na wanaeleza kinachotokea ktk maofisi yao wanapokutana na hao staff wa CAG. Ok CAG alijenga ofisi kadhaa na kuzifungua kwa mbwembwe eti wasiwe wapangaji, kama ni hivyo inakuwaje wanapokwenda kukagua wanataka ofa ofa kwa kila kitu? Usafiri wapewe, lunch, accommodation, nk. watu wanaotaka ofa kiwango hicho, wana ubavu wa kuripoti makosa kweli?

Mambo ya hati safi za halmashauri, ni kweli kuna hati safi? Sasa Wakurugenzi wapya mbona wanalizwa na kamati za bunge na wanakubali halmashauri zimeoza! Tumeona Gairo mkurugenzi akisema uozo. Mradi mkubwa wa Lugumi ulisharipotiwa wapi? hilo jengo hewa la wizara ya elimu wapi liliropitwa? Chuo Kikuu gani kiliwahi kutajwa kuwa na wanafunzi hewa?

Ripoti za CAG ni kama hotuba za kisiasa. unakuta maneno kama ufisadi mkubwa umefanyika, sawa mkubwa kiasi gani? Halmashauri imepata hati safi. Safi maana yake ni nini? Yaani hakuna pesa iliyopotea au zimepotea robo tu au sifuri? Ripoti za kusema kuna wafanyakazi hewa bila kuonyesha magnitude yake ni unprofessional. Sema kuna wafanyakazi hewa milioni moja na wametoza pesa za umma bilioni mia kadhaa! tusitake ku massage uozo.

Value for money; Jengo la milioni 500 linajengwa kwa bilioni 1 serikalini na CAG anasema utaratibu ulifuatwa. Majengo ya aina hii yamejaa kila sehemu ya nchi na huenda hata hizo ofisi za CAG zilijengwa kwa kufuata utaratibu wa aina hii.
 
Back
Top Bottom