Ofisi usipoipenda, unafanyaje?

Ofisi usipoipenda, unafanyaje?

Deeply sijawahi furahia ofisi nilopangiwa tangu nimeanza kazi ofisini tuko wawili tu,lakini dah Yani nilienae ofisini akibeba msosi anakula peke ake Wala karibu Hamna,

Ata bites anakula mwenyewe Hadi anamaliza actually sijawahi ifurahia ofisi yeye ni mkubwa mimi kama mdogo ake tumepishana kama 5 years,Kuna mda akininua kitu natamani kama hatoke mule ofisini akale huko amalize ndipo harudi ofisini lakini haiwezekani!!!
Punguza kudeka hapo sio nyumbani ni ofisini..
Last born katika ubora wako.
 
Deeply sijawahi furahia ofisi nilopangiwa tangu nimeanza kazi ofisini tuko wawili tu,lakini dah Yani nilienae ofisini akibeba msosi anakula peke ake Wala karibu Hamna,

Ata bites anakula mwenyewe Hadi anamaliza actually sijawahi ifurahia ofisi yeye ni mkubwa mimi kama mdogo ake tumepishana kama 5 years,Kuna mda akininua kitu natamani kama hatoke mule ofisini akale huko amalize ndipo harudi ofisini lakini haiwezekani!!!
Wewe inaelekea ua akili MLEMBA!!
 
Kama na wewe unalipwa mshahara kula unachotaka. Unataja mshahara wake akulishe na wewe then wewe ujengee kama vp agiza matofali ule
 
Kaka punguza uroho mtu anakula chake umeanza kuchukia na offc dah
Deeply sijawahi furahia ofisi nilopangiwa tangu nimeanza kazi ofisini tuko wawili tu,lakini dah Yani nilienae ofisini akibeba msosi anakula peke ake Wala karibu Hamna,

Ata bites anakula mwenyewe Hadi anamaliza actually sijawahi ifurahia ofisi yeye ni mkubwa mimi kama mdogo ake tumepishana kama 5 years,Kuna mda akininua kitu natamani kama hatoke mule ofisini akale huko amalize ndipo harudi ofisini lakini haiwezekani!!!
kaka
 
Dah unapitia mapito magumu sanaaaaaa!!
Msimulie b mkubwa wako usikie atakushauri vipi au la piga chini kazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom