Xiao qui shui
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 6,195
- 10,821
Safiii 🤝🤝🤝Shida iko upande wako, acha kazi kakae nyumbani......
Yani unachukia ofisi kisa haujakaribishwa bites???

Wewe inaonekana ukipata Boda boda tu wa kukuwekea bili ya elfu tatu t7 kwa siku tayari unakuwa single maza soon.Deeply sijawahi furahia ofisi nilopangiwa tangu nimeanza kazi ofisini tuko wawili tu,lakini dah Yani nilienae ofisini akibeba msosi anakula peke ake Wala karibu Hamna,
Ata bites anakula mwenyewe Hadi anamaliza actually sijawahi ifurahia ofisi yeye ni mkubwa mimi kama mdogo ake tumepishana kama 5 years,Kuna mda akininua kitu natamani kama hatoke mule ofisini akale huko amalize ndipo harudi ofisini lakini haiwezekani!!!
Ipo mada nyingine ya huyu mleta mada analalamikia wadogo zake wa damu juu ya tabia yao ya kuingia mara Kwa mara chumba chake cha kulala ktk nyumb aliopanga...tumzoee tu mleta madaHicho tu ndo kinakufanya utake kuama ofisi
Hakika itabidi tumzoe tuIpo mada nyingine ya huyu mleta mada analalamikia wadogo zake wa damu juu ya tabia yao ya kuingia mara Kwa mara chumba chake cha kulala ktk nyumb aliopanga...tumzoee tu mleta mada
Vipi ukimuomba akukaribishe, anakataa? Yaani msosi huyo mfanyakazi mwezioUwezi hama labda uhamishwe na manager
Si ununue vya kwako. Hata mimi nisingekupa.Deeply sijawahi furahia ofisi nilopangiwa tangu nimeanza kazi ofisini tuko wawili tu,lakini dah Yani nilienae ofisini akibeba msosi anakula peke ake Wala karibu Hamna,
Ata bites anakula mwenyewe Hadi anamaliza actually sijawahi ifurahia ofisi yeye ni mkubwa mimi kama mdogo ake tumepishana kama 5 years,Kuna mda akininua kitu natamani kama hatoke mule ofisini akale huko amalize ndipo harudi ofisini lakini haiwezekani!!!
Na wewe si ununue vyako makasiriko ya nini 😁😁Deeply sijawahi furahia ofisi nilopangiwa tangu nimeanza kazi ofisini tuko wawili tu,lakini dah Yani nilienae ofisini akibeba msosi anakula peke ake Wala karibu Hamna,
Ata bites anakula mwenyewe Hadi anamaliza actually sijawahi ifurahia ofisi yeye ni mkubwa mimi kama mdogo ake tumepishana kama 5 years,Kuna mda akininua kitu natamani kama hatoke mule ofisini akale huko amalize ndipo harudi ofisini lakini haiwezekani!!!
Kazi umepataje kwa uandishi huu?Deeply sijawahi furahia ofisi nilopangiwa tangu nimeanza kazi ofisini tuko wawili tu,lakini dah Yani nilienae ofisini akibeba msosi anakula peke ake Wala karibu Hamna,
Ata bites anakula mwenyewe Hadi anamaliza actually sijawahi ifurahia ofisi yeye ni mkubwa mimi kama mdogo ake tumepishana kama 5 years,Kuna mda akininua kitu natamani kama hatoke mule ofisini akale huko amalize ndipo harudi ofisini lakini haiwezekani!!!
Angekuwa mwanaume sekunde tu angekuwa FEKIjela utaweza kweli wewe?
Kama hii ndio sababu yako basi wewe utakuwa mchawi baada ya muda.Deeply sijawahi furahia ofisi nilopangiwa tangu nimeanza kazi ofisini tuko wawili tu,lakini dah Yani nilienae ofisini akibeba msosi anakula peke ake Wala karibu Hamna,