Aladeen04
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 3,585
- 5,804
Sio kweli kwa nje lipo hivyohivyo, hivi ile range iliyojuu ya mawe ni ya nani mkuu?Kaka uongo ni mbaya sana... Hiyo kwa sasahivi ilishaboreshwa.... Nimetoka kugawa t-shirt pale siku Magufuli amekuja nimeingia ofice zote ni nzuri mno