Ofisi gani zinakuwa bize sana kipindi gani. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ofisi gani zinakuwa bize sana kipindi gani.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Wajad, Sep 5, 2012.

 1. W

  Wajad JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 1,130
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  NMB, mwisho wa mwezi.
  Ubungo bus terminal, mwisho wa mwaka.
  Polisi, wakati wa maandamanano ya cdm.
  Magogoni, wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu.
  Mjengoni, kukiibuliwa hoja inayowabana vigogo.
  Kumbi za starehe, mwisho wa wiki.
  Naomba kuwasilisha.
   
 2. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  jf kukuwepo na uchaguzi au breaking news yoyote. mia
   
 3. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,736
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  MuHimbili Dr Ulimboka akitekwa..
  Guest za sinza Mvua zikinyesha..
   
 4. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Kwenye daladala za Mbezi ya Kimara..
   
 5. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #5
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,335
  Likes Received: 2,659
  Trophy Points: 280
  hapo umenena...huwa hazikauki kila wakati nyomi
   
 6. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #6
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,335
  Likes Received: 2,659
  Trophy Points: 280
  Ofisi zisizokauka ni hizi;
  Vibanda vya wakaanga vyepe mida ya lunch...
  Toilet za pale Mwenge stand..
  Makanisa yote siku za J'2
   
 7. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #7
  Sep 5, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Uwanja wa Fisi hasa siku za mchiriku...
   
 8. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #8
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  Kona bar nyakati za usiku..
   
Loading...