Ofisa wa TRA aliyepambana na Baba Levo apandishwe cheo

Ofisa wa TRA aliyepambana na Baba Levo apandishwe cheo

Huyu alicheza vizuri na upepo! Maana alijua kabisa hapo hawezi kula rushwa. Ingekuwa kwa mtu mwingine angechukua hela. Kati ya taasisi za umma zinazoongoza kwa kula rushwa kubwa kubwa hapa Tanzania ni TRA!
Magari si wanayapitisha wenyewe hao mtu anaenda kukagua huku akijua kilichofanyika sema wasiojua kinachofanyika wanaona kama mtu kakaa zake Kinondoni na kuwadanganya TRA kitu ambacho sio kweli..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom