The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,082
Halafu watu wanaotembea na wake za watu huwa wanajifanya vidume kweliMapenzi yasiyo na msingi ni ushenzi. Jamaa mwenyewe(mwizi ) alikuwa friend wa karibu na marehemu, na mwanzoni pindi maneno juu ya hayo mahusiano yalipoanza kuzagaa mwanaume (marehemu) alimfata na kumwuliza then akamwonya. Ktk ile kukimbizana usiku jamaa(mwizi) ashukuru alishushiwa njiani, vinginevyo ingemkumba na yeye. Kwa taarifa za kuaminika zinasema jamaa (mwizi) kwa sasa ni mwanafunzi wa st.john's university ambaye kikazi ni Askari polisi. Mpaka sasa yupo kituoni anachukuliwa maelezo na polisi, pia amehifadhiwa kwa usalama wake!