niachiemimi
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,672
- 5,477
Amakweli kuzuri kinajiuza na kibaya chajitembeza. Kutwa promo.
Ckiliza nyingne ya" ivi ama vile"Hiyo sehemu unaitaji akili zako changanya na za kupewa utaelewa, Sanaa inafikisha Ujumbe.Mimi nimeelewa navyojua mimi.
wewe je?
Nimekuona kule kwenye Uzi wa wenye waume walevi upo wakati uliniambiaga hupendi wanaume waleviMuulize mumeo[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Nimekuona kule kwenye Uzi wa wenye waume walevi upo wakati uliniambiaga hupendi wanaume waleviMuulize mumeo[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Ukiishi kwa upanga utakufa kwa upanga Mungu ndio anapanga kila kitu kwa kila mtu,adaraka hayana rafiki wa kudumuKachapwa mijeledi,kapigwa bila huruma na kafumbwa macho siku3.... ni kina nani hao walio mfanya hivyo? Kwann asiwataje sasa.....na mbona yupo nao.