Sikatai tupo kwenye Soko huria/free market hata ukiona jirani yako kajenga saloon leo nawe unaweza kujenga pembeni yake tu.
All most kama siku tatu hivi zimepita alianza msanii Ali Kiba kutoa wimbo wake then After a short hour wakaja wasanii Wa kundi la WCB nao wakatoa wimbo wao.
Swali Je kulikua na Ulazima wa WCB kutoa wimbo wao wakati Ali kiba kashatoa wake au walikua wanasubiri Kwanza Ali kiba atoe wimbo wake??
Infact sipo upande wowote ule hata nyimbo zote sijasikiliza ila nimeona kila Upande ukivutia kwake tena wengine kwa lugha zisizo na mantiki kwa jamii.
Sent using
Jamii Forums mobile app