Official Video: Zilipendwa by All WCB Artists

Official Video: Zilipendwa by All WCB Artists

d71bdcc70473001fd9d7c0a9e8d0c47a.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108] watu wezi kweli

Tears of the sun
 
Inashangaza sana! kwa nini timu mondi ama Domo wanaamini kuwa wanahujumiwa?

Yaani hawaamini kilichowakuta. wanaamini hata viongozi maarufu waliotoa maoni yao kuisifia seduce me eti wamehongwa!!!!

hahahahahahaaa!!!!! hakika timu domo kipindi hiki mmeshikwa pabaya!!! mwambie mtu wenu aachane na kuimba taarabu na sengeli aige muziki kwa wataaalam
 
Ni woga tu.. hujawai kuona ata vyma vya upinzani vinaposhindwa hudhani kua vimehujumiwa kumbe ni kiholo tu
 
Katka hit song ya wasafi zilipendwa kumekuwa na utata wa nani ameimba vizuri zaidi na zaidi. Ijapokuwa kiukweli hakuna aliekosea ndio maana inakuwa shida kujua nani kafunika zaidi, ila kwangu mimi napenda part zote sana tu ila hawa watu wawili wamenikosha Rich mavoko na maromboso. Wamefunika sana. Je kwa upande wako kwa upande wa kuimba nani kafunika?

Pia kwa upande wa scene ya video sehemu iliyonikosha ni pale Diamond anapokata mbao na msumeno huku akienda na biti huku anakata mauno na ingine ni ile ya harmonize anavotembea na limfuko sare sare na trauzs. Je wewe ni scene gani ya video imekukosha
 
Mi napenda pale ambapo Mbotto anamfuatilia Harmonize ajue anaishi wapi
 
Kila nayetaka kumtaja naona nakosea, kiukweli nimeshindwa kulinganisha yupi kamfunika mwenzake mana kila mtu kapatia vibaya mno kwenye sehemu yake, WCB kuna vipaji tuwape support vijana wetu. Charity begins at home. Hizi team ni upuuzi mtupu.
 
Back
Top Bottom