Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,095
hatupangiani ba ndugu ila kwanini mashabiki wa pande hizo mbili wengine mpaka wananuniana na kutoleana lugha zisizo na Staha??? hebu pitia machapisho mengi huku ba ndugu wanguEboh!! Bado tunapangiana vya kufanya.
Mbona zimetoka nyimbo nyingi tu, hizo za hao wawili zina nini!!!!!!!!
Ndumilakuwili upo upande gani? naona hutoi comment[emoji106]
-Ndumilakuwili-
hahahaha acha ujinga ina maana humjui yericko kuwa ni mbobezi wa mambo ya ujasusi na upelelezi na alisomea mambo ya ujasusi uko Russia miaka ya 70... wewe utakuwa mgebi nchi hii...Yericko ni jasusi mkuu.....Kwani yericko ndo nani kwenye mziki wa bongo hadi umtumie kama reference ya kutambua ubora wa mziki?
Mleta mada acha kuwa biased!
brain is the beautiful part of the body.
![]()
![]()
Ziache media za burudani ziongeee.
![]()
Hahaha aendelee na ujasusi wake, hana linkage na muziki huyu muhenga!hahahaha acha ujinga ina maana humjui yericko kuwa ni mbobezi wa mambo ya ujasusi na upelelezi na alisomea mambo ya ujasusi uko Russia miaka ya 70... wewe utakuwa mgebi nchi hii...Yericko ni jasusi mkuu.....