Official statement: Baba V is out


Hivi wewe unayekurupuka tuuu una matatizo saana. Kwanza mara ya mwisho kuingia cc kabla hujaja jana ilikuwa lini. Muulize mkeo ummu kulthum kilichompata baada ya yeye kuropoka kama ulivyofanya. Subiri hatua KALI na hakuna kukimbilia mahakamani kuweka PINGAMIZI kibano kikikolea.
 
Last edited by a moderator:
Eeeeeeeeeh haya mapinduzi sasa mnatutia vizungu zungu jamani, na Erickb52 naye pia si ni Mwenyekiti au?

Una uhakika na unacho kinena wewe KOKUTONA.!?? Au ndo unatamani na wewe nikuingize kwenye blackbook yangu!?
 
Last edited by a moderator:
Nafahamu sasa hivi yuko Vwawa kwa mganga wa kienyeji, lakini hapa ni MziziMkavu hauchimbwi dawa

Nini Vwawa..!? Niko Sumbawanga sehemu inaitwa CHIPU ,huku radi buku jero tu, nimeshamaliza course work sasa naingia field na nashukuru umejileta mwenyewe kama assignment. ummu kulthum atanisamehe kwa jero.
 
Last edited by a moderator:
Nafahamu sasa hivi yuko Vwawa kwa mganga wa kienyeji, lakini hapa ni MziziMkavu hauchimbwi dawa

Nini Vwawa..!? Niko Sumbawanga sehemu inaitwa CHIPU ,huku radi buku jero tu, nimeshamaliza course work sasa naingia field na nashukuru umejileta mwenyewe kama assignment. ummu kulthum atanisamehe kwa jero..
 
Last edited by a moderator:
Muasisi wa haya mapinduzi ya hovyo hovyo ni erick52....

Baba V ana mapungufu mengi tu lkn hajafikia kupinduliwa
 
Last edited by a moderator:

Nini Vwawa..!? Niko Sumbawanga sehemu inaitwa CHIPU ,huku radi buku jero tu, nimeshamaliza course work sasa naingia field na nashukuru umejileta mwenyewe kama assignment. ummu kulthum atanisamehe kwa jero.

Nini Vwawa..!? Niko Sumbawanga sehemu inaitwa CHIPU ,huku radi buku jero tu, nimeshamaliza course work sasa naingia field na nashukuru umejileta mwenyewe kama assignment. ummu kulthum atanisamehe kwa jero..

Dogo sina mud wa kubishana na Mtu aliyestaafishwa kwa manufaa ya wana -Chitchat....hilo moja.

Pili hiki ni kipindi cha mpito, na kwa taarifa yako tayari kuna Baraza jipya la mawaziri chini ya muundo mpya wa dola (sio noti).

Tatu hakikisha unakabidhi kila nyaraka ofisini kwangu ikiwemo na vimada wako.

Nne ndoa zote ulizofungisha vichochoroni kuanzia sasa zimevunjwa rasmi.

Tano utalipwa mafao yasiyopungua dola 1milioni (Zimbabwean).

Sita mke wangu ummu kulthum muache apumuwe, usimgasi.

Mwisho unatakiwa kuhudhuria Clinic ya ushauri wa kisaikolojia kila wiki ili utibiwe maradhi ya mshtuko wa kupoteza Cheo chako (Najua madhara yake yameanza kuonekana).

Nakala: Waziri wa ushauri wa saikolojia, jinsia na upimaji KOKUTONA

Wasalaam
Platozoom
Interim President CC
 
Last edited by a moderator:

You speak high and mighty huh...! I know your price dogo. Endelea kupiga blah blah.. be prepared.
 
Last edited by a moderator:
Muasisi wa haya mapinduzi ya hovyo hovyo ni erick52....

Baba V ana mapungufu mengi tu lkn hajafikia kupinduliwa

Hebu yaainishe na pia ainisha na strength za hawa power mongers.. Tutafika tu.
 
Last edited by a moderator:

Heri wale ambao wameshawahi kuwa na ndoa hapa wangesema, hata ndoa huijui na wewe umo tu. BTW msalimie jael lady..

Kwa hisani ya watu wa LUMO
 
Last edited by a moderator:

Heri wale ambao wameshawahi kuwa na ndoa hapa wangesema, hata ndoa huijui na wewe umo tu. BTW msalimie jael lady..

Kwa hisani ya watu wa LUMO ..
 
Last edited by a moderator:
dada mkubwa nani kakufundisha kuchakachua?

Excel uko wapi?
Hahahahahahahahahahaha jamani si nimeuliza tu basi naacha please Excel usije mwaego nimeacha kuchakachua siredi za watu mweee bora ukiwa na mdogo maana anakustua unapotoka nje ya mada . Asante sana vipi shemeji yangu hajambo lkn.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahahahahaha jamani si nimeuliza tu basi naacha please Excel usije mwaego nimeacha kuchakachua siredi za watu mweee bora ukiwa na mdogo maana anakustua unapotoka nje ya mada . Asante sana vipi shemeji yangu hajambo lkn.

hahahahaa..... Maana nilijiuliza kwenye haya mapinduzi babu wa loliondo kafikaje LOL!

shemejio hajambo kabisa!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…