Official statement: Baba V is out

Official statement: Baba V is out

bora niolewe mara ya pili
nimiliki waume wawili,shemejio
wa kwanza naona majukumu mengi!
hakikisha unampelekea loya kadi ya mwaliko!!
cc Excel!!

Shem !
Huyu ndiye wewe yule wa siku zote?
Ama ni kwamba upo bwaksi ?
Baadae utatuomba razi au?
Ama "umevurugwa" na chejo la huyu bwa mdogo kwa kukudizainisha midizaini ya kizazi kipya ?
Nafikicha mboni zangu , siamini namna nionavyo righthand wangu loya unavyojaribu kumnyanyasa .
 
Last edited by a moderator:
mipango ishakamilika my queen!!.... naona Lady doctor yuko nyuma anaruka ruka kwa furaha na kiroho cha umbea!!

watuwache tulane!!!.. nikule nawe unile!! iam yours...!! you are mine!!

ujue beibe Lady doctor anamuogopa
shem wake wa kwanza mi nimemwambia
asiogope,yule nishamlimbwata kitambo sana!!
 
Last edited by a moderator:

shem ni mimi huyu huyu!!
nduguyo yupo busy na kazi
utadhani alioa kazi ebooo,imebidi
nimtaftie msaidizi kabisa,na ndoa ya halali
tunafunga ili wawe wawili kihalali,mechoka mie khaa!!
 
shem ni mimi huyu huyu!!
nduguyo yupo busy na kazi
utadhani alioa kazi ebooo,imebidi
nimtaftie msaidizi kabisa,na ndoa ya halali
tunafunga ili wawe wawili kihalali,mechoka mie khaa!!

Au ndo style ya kumrejeza kwenye pitch ?
But kumbuka "penati huwa haitolewi pasi"
 
Shem !
Huyu ndiye wewe yule wa siku zote?
Ama ni kwamba upo bwaksi ?
Baadae utatuomba razi au?
Ama "umevurugwa" na chejo la huyu bwa mdogo kwa kukudizainisha midizaini ya kizazi kipya ?
Nafikicha mboni zangu , siamini namna nionavyo righthand wangu loya unavyojaribu kumnyanyasa .

shem hata mie nilifikiri pacha angu ananitania, kumbe anafanya ki kwelikwelii..... Yaani hapa wamenipa kazi ya kusambaza kadi za arusi hadi machozi yananitoka nikimkumbuka loya halafu huyu shemeji mpya ananiambia nina wivu nitammwagia up pu mie
 
Last edited by a moderator:

ujue beibe Lady doctor anamuogopa
shem wake wa kwanza mi nimemwambia
asiogope,yule nishamlimbwata kitambo sana!!

pacha mumeo alikuwa kila siku ana funga na kuomba kwaajili yangu ili ndoa yangu ivunjike kumbe yake imemshinda ngoja aje nimcheke
 
Usiombe mwanamke anaekunika kimikito Shem! Huaga hasikii la Sheikh wala la Buruda !
Chezeiyah mkuno weyee !
 
shem ni mimi huyu huyu!!
nduguyo yupo busy na kazi
utadhani alioa kazi ebooo,imebidi
nimtaftie msaidizi kabisa,na ndoa ya halali
tunafunga ili wawe wawili kihalali,mechoka mie khaa!!

and ofcourse inabidi nifanye mapema kabisa kabla wanga hawajaamka!!
 
ujue beibe Lady doctor anamuogopa
shem wake wa kwanza mi nimemwambia
asiogope,yule nishamlimbwata kitambo sana!!
hii hali si nzuri...! mbona naanza kuhisi mabadiliko na mimi!! Lady doctor naomba maelezo hapa pacha wako anaanisha nini!!?

a man of acion cant be loved by limbwata!!!.. IAM AGAINST THIS!!
​we sema tu bby usiogope hahaa!!

tushughulikie kwanza hili suala la limbwata kwanza...!
 
Last edited by a moderator:
Au ndo style ya kumrejeza kwenye pitch ?
But kumbuka "penati huwa haitolewi pasi"

shem langu habari ndio hiyo
nduguyo shurti asaidiwe tu!!
ila nitawapenda pasu kwa pasu!!
sina upendeleo kabsaaaa!!
 
pacha mumeo alikuwa kila siku ana funga na kuomba kwaajili yangu ili ndoa yangu ivunjike kumbe yake imemshinda ngoja aje nimcheke
hahahaaaa!!pacha maombi yamejibiwa
ki vise vesa lol,ila usimcheke asije akajiu4 mwenzio!!
 
Back
Top Bottom