Official statement: Baba V is out

Official statement: Baba V is out

Wizara zitakuwa hivi:

1. Lugha na mtiririko wa misamiati mipya
2. Usalama na nidhamu
3. Mavazi na burudani
4. Mahusiano na majukwaa mengine
5. Ofisi ya Rais kazi maalum (huyu lazima atakuwa mwanamke)
6. Mambo ya ghafla, madikodiko, umateumate na mashindano
7. Jinsia na Wazee
8. Pombe na bia

Kwa kadri nitakavyoshauriwa na timu yangu ya washauri nitapunguza ama kuongeza Wizara.

NB: Wale ambao wanahisi wanaweza kuwemo kwenye Baraza hili waanze kuandaa suti na au madera. Soon nitatangaza majina yao.

Ahsanta:
Platozoom
Rais serikali ya mpito Chitchat.

Umesahau USHAURI NASAHA NA KUPIMA.....Mimi mwenyewe mkuu wa kitengo
 
umejuaje best kama Baba V ameharibu ndoa zetu hapa mjengoni na tena amekuwa mkware ile mbaya jamani

Kwamba kwanza huyu anayejiita Baba V hakuchaguliwa na kikao halali, na kubwa zaidi amesababisha ndoa kadhaa kuvunjika hapa CC. Ukiacha hilo imegundulika kuwa ana mahusiano yasiyo rasmi na Wana CC wa kike wanaokuja kuomba ushauri, na kwamba yuko 'too local'.

Tehe tehe,mtangoja sana
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nashukuru kwa wazo hilo!
Lakini kwa sasa mimi ni mwanasheria wa kujitegemea hapa CC & MMU

Loya naona bado hujawek pingamizi!!!

Kuna washauri wangu wananiambia nikupeleke ubalozini kule Jukwaa la wakubwa. Bado nafikiria
 
Kunywa maji mengi platozoom utakuwa sawa soon!
Pole kwa hangover za sikukuu!

cc Chocs mke wa mwenyekiti

Umekuja kwa spidi. Kuwa mwangalifu na kauli zako, ninaongoza kwa standard and speed.
A%20S%20crown-1.gif
 
Mtoto mzuri kama wewe siwezi kukuhonga............nakupa tu.
U-hali gani binti uliyeumbwa ukaumbika.

We nipambe tu na maneno yako ya kumtoa nyoka kwenye pango lake. Lakini huwezi kumfisadi my dady Baba V kwnye cheo chake.
 
Back
Top Bottom