Nimekusikia Loya. Nasubiri pingamizi lako mahakamani
Loya unajua mimi na Chitchat hatujakutana barabarani!
Loya unajua mimi na Chitchat hatujakutana barabarani!
Mahakami huwezi kwenda ila mahakamani itabidi uende.
Soon natangaza serikali yangu ya mpito.
Ndiyo kusema Chtcht ulikutana nayo guest house au ?
Hata mie na Mke wangu kuna siku alivundumka usingizini , akaniambia kesho yake tuwe Wenyeviti (MR & MRS) wenye same status hapa c.c !
Nikamwambia tusubiri kidogo .
Ishia hapohapo kwa usalama wako....
Mkuu nashukuru kwa wazo hilo!
Lakini kwa sasa mimi ni mwanasheria wa kujitegemea hapa CC & MMU