Official statement: Baba V is out

Official statement: Baba V is out

hahahahaa..... Maana nilijiuliza kwenye haya mapinduzi babu wa loliondo kafikaje LOL!

shemejio hajambo kabisa!
Si unajua typing error halafu huenda mtu alihack id yangu lol. Nashukuru kama hajambo msalimlie sana
 
Hebu yaainishe na pia ainisha na strength za hawa power mongers.. Tutafika tu.

Naona unaota ndoto za mizimu.

Heri wale ambao wameshawahi kuwa na ndoa hapa wangesema, hata ndoa huijui na wewe umo tu. BTW msalimie jael lady..

Kwa hisani ya watu wa LUMO

Unaijua Lumo wewe: Kigilagila, Relini, Mwisho wa lami..................Kwa Jimmy (Woodland pub), Ikizu e.t.c. Unachekesha

You speak high and mighty huh...! I know your price dogo. Endelea kupiga blah blah.. be prepared.

Naona huelewi the strenght of power. Muulize Zitto atakwambia
 
Hahahahahahahahahahaha jamani si nimeuliza tu basi naacha please Excel usije mwaego nimeacha kuchakachua siredi za watu mweee bora ukiwa na mdogo maana anakustua unapotoka nje ya mada . Asante sana vipi shemeji yangu hajambo lkn.
Ablessed.. Goodmorning kwanza!!

then naomba kwa heshima na taadhima...! unieleze kwa kina, ni nini ninyi wawili mnachonichakachua hasa?

ndoa za mitara ni ngumu sana mjue!!.. uwezo wa kumiliki wake watatu katika dunia hii ya mfumuko wa bei..! ni kazi nzito!
 
Last edited by a moderator:
Naona unaota ndoto za mizimu.



Unaijua Lumo wewe: Kigilagila, Relini, Mwisho wa lami..................Kwa Jimmy (Woodland pub), Ikizu e.t.c. Unachekesha



Naona huelewi the strenght of power. Muulize Zitto atakwambia

Siku utanikuta pale YOMBO LUX opposite na Ikizu ntakufungia kazi. Endelea kufurahia ma uenyekiti wako wa kwenye keyboard huo. Afu eti nimuulize Zitto... nimeshasema no MAPINGAMIZI..
 
Ablessed.. Goodmorning kwanza!!

then naomba kwa heshima na taadhima...! unieleze kwa kina, ni nini ninyi wawili mnachonichakachua hasa?

ndoa za mitara ni ngumu sana mjue!!.. uwezo wa kumiliki wake watatu katika dunia hii ya mfumuko wa bei..! ni kazi nzito!

hahahahaa.... We Excel wewe!!!!
Kwanza umeshaandaliwa maji ya kuoga na my pacha yenye pilipili kichaa, upu pu, iriki, kitunguu swaumu, karoti, nyanya, mdalasini, tangawizi na maziwa ya mgando.... Daah ukitoka bafuni lazima uwe mzungu wewe,,,,,,,,, pacha angu sijui kajifunzia wapi haya malavidavi...... Unapendwajeeeeee!!!!!!!!!!!

Cc: Passion Lady we mkareeeeeee, Eli79 njoo uone malavidavi huku, KOKUTONA njoo upate mafunzo usije, ukaachwa!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
naona umshaanza kuvurugwa mwanzoni mwa mwaka ngoja wakuvuruge tu mpaka utoke mapovu mdomoni
nasi tutabaki tukishangilia kwa fijo na ndelemo wewe hufai kuwa m/kiti wa cc bora kaka yangu Erickb52 ndiye anayefaa uliona wapi mluguru kushika wadhifa mjengoni?
Heri wale ambao wameshawahi kuwa na ndoa hapa wangesema, hata ndoa huijui na wewe umo tu. BTW msalimie jael lady..

Kwa hisani ya watu wa LUMO ..
 
Last edited by a moderator:
achane naye huyo mlugaluga aisiye na haya ya uso kwani uongozi umeshamshinda awaachie wenzake tushike nyadhifa wewe m/kiti yeye. katibu yeye uliona wapi viti 2 kushikwa na mmoja amwambie mwenzake zitto yaliyomsibu sasa hana lake asikutishe tutaomuondoa tu madarakani kwa mwaka huu bestito
sikuletei, umeniudhi sana!!!!!!!
 
achane naye huyo mlugaluga aisiye na haya ya uso kwani uongozi umeshamshinda awaachie wenzake tushike nyadhifa wewe m/kiti yeye. katibu yeye uliona wapi viti 2 kushikwa na mmoja amwambie mwenzake zitto yaliyomsibu sasa hana lake asikutishe tutaomuondoa tu madarakani kwa mwaka huu bestito

itabidi safari hii mwenyekiti wa humu CC awe mwanamke cousin mie naona wanaume wote wameshindwa!
 
kabisa cousin naona tufanye huo mpango maana hawaeleweki kabisa hawa majamaa na nimetoka kumsema huko ananitukana wewe mwache sijui anataka kibano acha nimsamehe tu
itabidi safari hii mwenyekiti wa humu CC awe mwanamke cousin mie naona wanaume wote wameshindwa!
 

pacha ubunifu we acha tu
Eli79 atajiju,atayamis mahabati
Excel umutima wange ni wewe,nakupendaje
habibty,njoo nikuogeshe switito!! Ruttashobolwa
mi natania tu hahaaa!!
 
Last edited by a moderator:
Ablessed.. Goodmorning kwanza!!

then naomba kwa heshima na taadhima...! unieleze kwa kina, ni nini ninyi wawili mnachonichakachua hasa?

ndoa za mitara ni ngumu sana mjue!!.. uwezo wa kumiliki wake watatu katika dunia hii ya mfumuko wa bei..! ni kazi nzito!
Usiwe na mashaka unajua wakati mwingine hizi keyboard huwa zina virus sasa ktk typing nkajikuta nimetype kitu nje ya mada lkn namshukuru Mungu nikashikwa bega na Lady doctor kuwa nimepoteza mwelekeo . Kwa hiyo imesaidia kustopisha uchakachuaji wa siredi. Hao wake 2 wanakutosha kamwe usiongeze wa 3 watakuua kwa presha.
 
Last edited by a moderator:
Una uhakika na unacho kinena wewe KOKUTONA.!?? Au ndo unatamani na wewe nikuingize kwenye blackbook yangu!?

Hicho kinini sijui kweli ninachooo....lakini mambo ya blaki buku sorrrrrry, mali za Eli79 hizi bila ubishi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom