Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
baby acha uoga
limbwata kikwetu ni kisusio
cha mbuzi usijali!!muulize Lady doctor!!
Last edited by a moderator:
basi Passion Lady kampata anae mkuna haswaa.....!
baeleze hao ndugu wa mume na hila zao
kwani kua na mume wa pili ni ajabu
watuwache tulaleee sie!!
baby acha uoga
limbwata kikwetu ni kisusio
cha mbuzi usijali!!muulize Lady doctor!!
pacha mwenzio nilitaka nifanye mapinduzi ya siri nikashtukiwa daah!!!!!!
hahahaaa!!pacha weeeni kweli kabisa Excel limbwata nikiruga chetu hicho na tafsiri yake ni kama alivyosema pacha hapo.
Kwani we shem limbwata ki kwenu ni nini?