Official statement: Baba V is out

Huyo Baba V yupo lakini?
Naona kama kakubali kuaina!
 
Last edited by a moderator:
Huyo Baba V yupo lakini?
Naona kama kakubali kiaina!
 
Last edited by a moderator:
Huyo Baba V yupo lakini?
Naona kama kakubali kiaina!
 
Last edited by a moderator:
Loya naona bado hujawek pingamizi!!!

Kuna washauri wangu wananiambia nikupeleke ubalozini kule Jukwaa la wakubwa. Bado nafikiria

Mkuu endelea kufikiria tu,
Hakuna haja ya pingamizi kwakuwa nimegundua wewe unatest zali tu!
Nasisitiza!!!!! Mwenyekiti ni Baba V na rais ni Arushaone!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mhhhh, humu kila mtu ana cheo chake cha kujipa mwenyewe.....Mi namimi najipa cheo cha USHAURI NASAHA NA KUPIMA KWA HIARI pamoja na U PSYCHOLOGIST

Hiyo kitu inanikumbusha mahali!!!!
Unawafahamu extrovert?
Mimi sijajipa hiki cheo, muulize Lady doctor kama huamini?
 
Last edited by a moderator:
Huna madaraka ya kuteua ama kufanya kikao chochote
Sana sana unatafuta support na badae unatafuta ugomvi!!!
Sitakuwa shahidi ukiokotwa mabwepande huku huna meno wala kucha!!!!!!

Naona unajaribu kulamba moto kwa ulimi. Vyovyote utakavyosema tayari nimesha-sworn in.
Kwa madaraka niliyopewa nakutaka uheshimu mamlaka iliyoko juu la sivyo utafunguliwa mashtaka ya uhaini na uchochezi.
 

Una hakika na unachokisema........labda kama hujalala na Heaven on Earth
 
Last edited by a moderator:
Keleuwiiii ha ha haaa nakufa jamani mbavu zangu ntadondoka bure hapa bed loooo vyeo hivi haaaaa.
 
Una hakika na unachokisema........labda kama hujalala na Heaven on Earth

Mimi mvumilivu sana labda itokee tu bahati mbaya. Nafikiria nikupe Wizara gani.

Halafu we unamjua Baba V au unamchezea likija swal la uenyekiti he can do anything

sa we shauri yako mie bado nakuhitaji ujue....Jogoo litawika na Mafile usikabidhiwe

Usitishwe na chochote. Kilichokuwa kinamsaidia Baba V ni uwezo wake wa kutumia vigagula, lakini hapa kafika mwisho.
 
Wafuasi wa Baba V tupo wengi, tumebeba mabango mazito tunasubiria waraka wa police, tunapinga mapinduzi ya kumuondoa madarakani ghafla kama morsi wa Egypt. Maandamano yanaanzia mtwara hadi kigoma
 
Muasisi wa mapinduzi ya hovyo hovyo ni erick52....

Mungu amlaani hadi alaanike.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…