mh afu mbona hiyo guru ipo updated then hapo inaaonyesha kuwa preblem lipo kwenye connection co VPN hebu jaribu hiyo trick kwanzaView attachment 116969
Wkuu Nawezaje Kushare Hizi VPN connection Kwenye wireless?? Au No Way????
We acha tu, mi mwenyewe nimefanikiwa, ni utamu kwa kwenda mbele.
http://www.mediafire.com/download/24cejje555p6kz0/TGv2.4.0.0_WIN_32Bit.zip
http://www.mediafire.com/download/h43z9jwzq35v70j/TGv2.4.0.0_WIN_64Bit.zip
kwani wewe unafanya nini sikuhizi..:A S 39:siku izi kila mtu anafanya ujasiriamali
Jaman kunani na pD proxy mbona yangu siku hizi za karibui ina homa goma sana, Mara iandike downstream inactivity detected nashindwa kuelewa ndugu wadau
- Pd ipo sawa.
- Tatizo yaweza kuwa ni pc yako.
- Kama vipi hamia tunnel zingine Kuna hii TwinsVPN na TunnelGuru
- Karibu
mkuu nna shida na hii service...na hapa naona giza tu!!! embu nieleweshe...natumia windows 8 x64 bit..
- Kwa mtandao wowote ule siyo huo pekee. Karibu
- Kwa mtandao wowote ule siyo huo pekee. Karibu