Offer! TunnelGuru Vouchers & PD Proxy Vouchers for only 6500/- Each

Offer! TunnelGuru Vouchers & PD Proxy Vouchers for only 6500/- Each

Naomben ushauri kat ya guru na pd proxy jaman ipi ni nzur na yny speed zaid
 
UPDATE {at 10:25Hr , 12 October}

  • PD Proxy Vochers zimebaki 0.0 {Zimekwisha} - Bei ya kawaida ya PD Proxy Vouchers ni tsh 10,000 per Month - Karibu
  • TunnelGuru Vouchers bado zipo zimebaki 14 tu
 
Naomben ushauri kat ya guru na pd proxy jaman ipi ni nzur na yny speed zaid
  • Kila mtumiaji atakwambia hii ni nzuli zaidi. Daima muamba ngoma huvutia kwake.
  • Fanya jaribio wewe mwenyewe Chuku PD vs GURU. Jiwekee vigezo then fanya tafiti.
​Karibu
 
  • Kila mtumiaji atakwambia hii ni nzuli zaidi. Daima muamba ngoma huvutia kwake.
  • Fanya jaribio wewe mwenyewe Chuku PD vs GURU. Jiwekee vigezo then fanya tafiti.
​Karibu

Mkuu nahitaji hiyo ya PD Proxy lini utakuwa na order nyingine.
 
Mkuu nahitaji hiyo ya PD Proxy lini utakuwa na order nyingine.
  • Soon !....
  • Kwa sasa Pata PD Proxy Voucher kwa bei ya kawaida tsh 10,000 per Month - Karibu
 
Capture.JPG
Endeleeni kusababisha
 
hv anaposema mwezi mzima it's means ni mwezi unlimited au ndio zile 150MB per Day Ufafanuzi kidogo please ..Sorry
 
Mwl.RCT heshima kwako mkuu,
Mimi ninayo DroidVPN katika android yangu(Samsung galaxy). Naomba kujua hii nikitumia ina faida gani na je kwa hizo vocha zako ina maana sitaweza tena kuwa nanunua bando kama la tigo kwa maana ntakuwa na simcard yeyoye tu ila napata huduma ya kubrowse via hiyo vpn??
Naomba kuelimishwa hapo.
 
Last edited by a moderator:
[
QUOTE=rahim_baharia;7550349]Hiyo proxy au vpn?[/QU

Vpn ni jina la jumla, Tunnel Guru, Pd Proxy nk.....

Hii Pd Proxy
 
Mwl.RCT heshima kwako mkuu,
Mimi ninayo DroidVPN katika android yangu(Samsung galaxy). Naomba kujua hii nikitumia ina faida gani na je kwa hizo vocha zako ina maana sitaweza tena kuwa nanunua bando kama la tigo kwa maana ntakuwa na simcard yeyoye tu ila napata huduma ya kubrowse via hiyo vpn??
Naomba kuelimishwa hapo.
  • Angalia PM.
 
Duh mkuu cjaamin macho yangu iyo Speed.
me cku nkijitahd sana naishia kwene 700 hv..
Swala la spidi linategemea

  1. ​ Location uliyopo
  2. Idadi ya programs ambazo zinatumia hiyo internet connection moja kwa wakati huo.
​Mfano: Windows update, Antivirus, IDM, youtube streaming, torrent client nk.
 
  • Hakikisha ume_install Java x32bit kama unatumia Win8 x32bit, Hii utaipata hapa
    Code:
    [URL="http://www.filehorse.com/download-java-runtime-32/"]Java Runtime Environment 1.7.0.40 (32-bit)[/URL]
    code
  • Na kama unatumia win 8 x64 ,Install Java x64bit, Hii inapatikana hapa
    Code:
    [URL="http://www.filehorse.com/download-java-runtime-64/"]Java Runtime Environment 1.7.0.40 (64-bit)[/URL]
Karibu

Natumia 64 Bit Na Nlifuata All Procedures Zote!! wait Nichek Maana N sku Ya Tatu Sjaanza Kuiitumia!!
 
Now ma problem solved but kinacho nikabili now still inagoma ku |Connect ... nmefuata procedure zote kanipa mkuu Frank G but ina goma ku conect wait n watumie screenshots hapa
 
Last edited by a moderator:
Natumia 64 Bit Na Nlifuata All Procedures Zote!! wait Nichek Maana N sku Ya Tatu Sjaanza Kuiitumia!!

mi machine yangu ni 64 lakini nimeeka 32 kila kitu fresh zaman nilihangaika na paje haikukubal pia machine yangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom