Ndugu Hey kama bado hujafanikiwa nijulishe 0768 92 48 41
Tatizo kubwa ni disconnection zimezidi speed kuna wakati inapanda kidogo. Natumia pdproxy
- "Disconnection" ya internet adapter au PD software?
- Speed huwa affected na server unayotumia kwa mfano asilimia 70 ya watumiaji wa PD hupendelea server za Torrent, hivyo wakati mwingine ufanisi wake huwa chini ukilinganisha na server zingine.
​Good News
- Hapana haiwezekani, Account moja itumike kwa PC moja.
- Kwa wale wote wenye PC mbili (2) hadi Tano (5), sasa waweza kupata Account Moja Tu, Itakayotumika katka PC zote Tano kwa mara moja hapa namaanisha "5 devices simultaneously"
- Kumbuka hapa simaanishi Pd Proxy wala TunnelGuru. Hii ni Tunnel Mpya ambayo nimeiingiza sokoni(kwa bei tofauti). Angalia list ya server zake hapa chini[/CENTER]
na hii ya kutumia acount zaid ya moja inakuaje mkuu samahn kwa usumbufu
- Account moja kwa PC zaidi ya moja. Ni kwamba nakupa USERNAME na PASSWORD ambayo itatumika kwenye PC zaidi ya moja kwa wakati mmoja.
- Hii feature haipo katika PD wala TG
mkuu naomba unielekeze procedures za kuconect kutumia droidvpn ..
- Angalia PM
- Nimekutumia PM
Subscription yako ikiisha itabidi uhamie t.guru