mimi nina 6500
:director::director:hizi muneno huna utapataje picha sasa..duuh mbona sipati picha hapa
- Angalia PM
- Piga hii # 0768 924 841 nikupe usaidizi zaidi.
- ​Karibu.
ok ngoja nkiwa na pc maana npo na simu
anyway mkuu nurbert nimejaribu kukutafutia attachment bt cjaipata cjui nilisave wap bt what i need 2 say ni kwamba muulize seller kama hiyo vocha ulivyoiinguza kule imeshamualert then kama vocha ipo activated then jaribu kuupdate hiyo vissio ya guru maana mimi nlivyo iweka tu haikuconnect ikaleta msg ya kuupdate nkaupdate ndo ikakubari!
Asante sana Mwl.RCT, huduma ya ukweli hii (sijui kwa pd proxy, ila hii tunnelguru nomaaaaaaaa). Naweza tazama video, tv channels etc live bila chenga, alafu pia nikupongeze kwa huduma yako nzuri kwa wateja, nimekusumbua sana ila haukusita kunisaidia. Big up!