Offer! TunnelGuru Vouchers & PD Proxy Vouchers for only 6500/- Each

Offer! TunnelGuru Vouchers & PD Proxy Vouchers for only 6500/- Each

mkuu nna shida na hii service...na hapa naona giza tu!!! embu nieleweshe...natumia windows 8 x64 bit..
maswali..
1) nini niwe nacho?? modem au pc tu inatosha???
2)ni software gani natakiwa niwe nayo??
naomba ufafanuzi...
1) nini niwe nacho?? modem au pc tu inatosha???
Modem universal na pc
2)ni software gani natakiwa niwe nayo??
Hapa kuna alternative mbili
  1. Ya kwanza: Utadownload software moja tu: Yaani PD Proxy , hii utaipata hapa: Download PD-Proxy a Virtual Private Network (VPN) Tunneling software
  2. Ya Pili: Ni TunnelGuru, hapa inatakiwa udownload software mbili
    1. TunnelGuru yenyewe: Ingia hapa Download : TunnelGuru Free Anonymous Web Proxy , HTTP Tunnel , VPN Tunnel , ICMP Tunnel , DNS Tunnel , HTTP Proxy Provider : TunnelGuru
    2. Java , hii utaipata hapa: Java Runtime Environment 1.7.0.45 (32-bit) Download for Windows / FileHorse.com
​Ukisha kuwa na hizo software unahitajika kupata Premium account itakayo kuwezesha kutumia huduma kwa mwezi mzima.
  • Jinsi ya kufanya configuration ya hizo software ingia hapa
    Code:
    [url=http://mwlrct.blogspot.com/]Jipatie[/url]
  • Kwa msaada wa haraka sms/ call 0768 92 48 41 . Karibu
 
mkuu tunnel guru ni mpaka ufanye maconfiguration kwenye browsers au ukishaconnect unaanza kula vitu?
  • TunnelGuru ina TUNNEL mbili
  • VPN tunnel na
  • HTTP tunnel
VPN tunnel ukisha connect unaanza kula vitu , kwa sasa VPN tunnel iko stable sana na hakuna disconnection hata kama utakuwa connected 24/7, hili nimelithibitisha mimi mwenyewe.
gyqd.jpg

HTTP tunnel ndio huwa inahitaji configuration kwenye browser, wachache ndio wanatumia hii HTTP tunnel, na lengo lao ni ili waweze kutumia connectify Dispatcher, yaani kuunga modem mbili au zaidi kwa PC moja kwa wakati mmoja. Na pia hii HTTP tunneling hutumika ili kuzinyima internet program zingine mfano kama umeweka hizi configuration 127.0.0.1 : 6055 kwenye browser basi ni browser pekee ndio itakuwa na internet hivyo unapata performance nzuli zaidi unapo surf

Karibu
 
swali la mwisho..hii tunnel guru ya sasa unaweza kutumia kwenye computer mbili kwa wakati tofauti? au ni kama ile ya mwanzo ambayo ukishaconnect kwenye computer moja huwezi kuitumia hiyo account kwenye computer nyingine? ningependa kujua kabla sijahamia huko
 
  • Hapana haiwezekani, Account moja itumike kwa PC moja.
​Good News

  • Kwa wale wote wenye PC mbili (2) hadi Tano (5), sasa waweza kupata Account Moja Tu, Itakayotumika katka PC zote Tano kwa mara moja hapa namaanisha "5 devices simultaneously"
  • Kumbuka hapa simaanishi Pd Proxy wala TunnelGuru. Hii ni Tunnel Mpya ambayo nimeiingiza sokoni(kwa bei tofauti). Angalia list ya server zake hapa chini
 
swali la mwisho..hii tunnel guru ya sasa unaweza kutumia kwenye computer mbili kwa wakati tofauti?
  • Yap kwa wakati tofauti inawezekana, hii ni kama kwa PD Proxy.
  • Jibu langu hapo juu lililenga kwa wakati mmoja ndugu Adolph bilashaka hapa nimejibu swali lako.
 
Last edited by a moderator:
kuna watu nimewaambia kuhusu hii kitu pd proxy bado hawaniamini hasa hii jinsi ya kulipia wanaona kama watazulimiwa ila wanahitaji, halafu mkuu mi mbona spidi hailidhishi?
 
kuna watu nimewaambia kuhusu hii kitu pd proxy bado hawaniamini hasa hii jinsi ya kulipia wanaona kama watazulimiwa ila wanahitaji, halafu mkuu mi mbona spidi hailidhishi?

Umeambiwa haya madude ni kwa manufaa ya member wa hili Jukwaa Sasa wewe aliyekutuma ukatagaze huko kitaani ni nani?
KRAPKA DAVINAA
 
  • Yap kwa wakati tofauti inawezekana, hii ni kama kwa PD Proxy.
  • Jibu langu hapo juu lililenga kwa wakati mmoja ndugu Adolph bilashaka hapa nimejibu swali lako.

mkuu hapo nimeshawishika...nahitaji hiyo account ngoja niku pm
 
Last edited by a moderator:
kuna watu nimewaambia kuhusu hii kitu pd proxy bado hawaniamini hasa hii jinsi ya kulipia wanaona kama watazulimiwa ila wanahitaji, halafu mkuu mi mbona spidi hailidhishi?
  • Thibitisha kama unatumia windows 7 x64 bit ,Ili nikupe ufumbuzi
Karibu
kuna watu nimewaambia kuhusu hii kitu pd proxy bado hawaniamini hasa hii jinsi ya kulipia wanaona kama watazulimiwa ila wanahitaji
Kwanza utapewa huduma, na baada ya kujiridhisha ndipo malipo yatafanyika, Hapa namaanisha huduma kwanza malipo baadae
 
  • Thibitisha kama unatumia windows 7 x64 bit ,Ili nikupe ufumbuzi
Karibu

Kwanza utapewa huduma, na baada ya kujiridhisha ndipo malipo yatafanyika, Hapa namaanisha huduma kwanza malipo baadae

mi natumia windows 7 32 bits
 
wote mnaofanya kuuza vocha za tunnel guru na pdproxy na zingine. kama ilivyo.bidhaa zingine mnatakiwa kupost jukwaa la matangazo... kuanzia sasa atakaepost ntaufuta uzi kimya na wala sitauhamisha kwenye jukwaa husika...

ahsante kwa kunielewa

nakala kwa : Paje munjy1 Mwl.RCT njunwa wamavoko Sadru na wauzaji wengine
 
Last edited by a moderator:
  • Mkuu C6 ujumbe umefika, tuko pamoja, hili nitalizangatia.
​
wote mnaofanya kuuza vocha za tunnel guru na pdproxy na zingine. kama ilivyo.bidhaa zingine mnatakiwa kupost jukwaa la matangazo... kuanzia sasa atakaepost ntaufuta uzi kimya na wala sitauhamisha kwenye jukwaa husika...

ahsante kwa kunielewa

nakala kwa : Paje munjy1 Mwl.RCT njunwa wamavoko Sadru na wauzaji wengine
 
wote mnaofanya kuuza vocha za tunnel guru na pdproxy na zingine. kama ilivyo.bidhaa zingine mnatakiwa kupost jukwaa la matangazo... kuanzia sasa atakaepost ntaufuta uzi kimya na wala sitauhamisha kwenye jukwaa husika...

ahsante kwa kunielewa

nakala kwa : Paje munjy1 Mwl.RCT njunwa wamavoko Sadru na wauzaji wengine
umesomeka loud and cristal clear mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom