Offer kwa watumia wa tunnelguru

Offer kwa watumia wa tunnelguru

Sadru

Member
Joined
Sep 12, 2011
Posts
23
Reaction score
4
offer offer offer offer offer offer
kama unatumia tunnelguru jipatie akaunti ambayo iko loaded 30days unlimited kwa siku 30 kwa shiling 6000/=tu .cheki 0688148836 ofa hii ni kuanzia 14/11 had 18/11
 
  • Nina wazo, Je kwanini Hizi vpn tunnel tusiuze kwa bei moja ya tsh 5,500/- tu. cc: njunwa wamavoko Sadru ,Sijakosea nikweli namaanisha elfu tano mia tano
 
Last edited by a moderator:
Je we Sadru unasemaje?

Na mbona hauna adabu sorry to say yeye kaanzisha Thread kwa huduma zake kwamba kuna offer ya TunnelGuru 6k wewe unakuja kuanza kujadili Mambo ya Bei ka vp anzisha huo uzi waku discuss bei
Umewai kuona mtu anaingia ndani ya uzi wako akatangaza Biashara
Ni mtazamo wangu tu
 
Last edited by a moderator:
Mtalogana sasa ivi... Mi atakayenipatia software ya kutumia kwenye Linux ntanunua vocha zake hata buku 20.
 
soon ntamove thread zote za vpn zenu ziende kwenye matangazo naona hazina mashiko na jukwaa

cc: njunwa wamavoko Mwl.RCT Sadru na wengine wooote....
 
vizuri mkielewana mkuu!!!, maana wote mna kitu kinachofanana, ushauri wa RCT ni kuwa na msimamo mmoja katika ubadirishaj wa bei,......natumai umenielewa kiongozi WA MAVOKO!!!!
 
Naombeni mwongozo wa jinsi ya kutumia hii kitu kwa android..
 
Mwenzako amewauliza kistaarabu mkuu.

vizuri mkielewana mkuu!!!, maana wote mna kitu kinachofanana, ushauri wa RCT ni kuwa na msimamo mmoja katika ubadirishaj wa bei,......natumai umenielewa kiongozi WA MAVOKO!!!!

si wanauza BEI moja TunnelGuru wote wanauza 8000/- na mm mwenyewe TG nauza bei moja hiyo hiyo
Sasa hiyo 55000/- angentufuata PM wala sio kitu cha kujadili hapa wazi wazi
Mm sina pressure hata siku moja mwezi wa 6 huu unauza VPN na siuzagi VPN jukwaa la TECH hata siku moja hata ukitafuta thread yangu humu hautoona

ABOVE ALL huyu mr. Sadru kaanzisha thread yake kupromote business yake sasa haina maana hii thread ikawa sehemu ya kujadili BEI
 
Last edited by a moderator:
soon ntamove thread zote za vpn zenu ziende kwenye matangazo naona hazina mashiko na jukwaa

cc: njunwa wamavoko Mwl.RCT Sadru na wengine wooote....

Mwenyewe nashangaa jukwaa la Tecnolojia kuna Matangazo ya Biashara

Tokea nijiunge JF tokea nianze kuuza VPN sijawai anzisha thread ya kuuza Internet hapa JF tech
rejea thread zangu zote hamna thread ya mauzo zaid ya signature yangu
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...-open-ports-in-any-isp-for-free-internet.html

https://www.jamiiforums.com/tech-ga...ith-a-magic-sim-card-no-payment-required.html

https://www.jamiiforums.com/tech-ga...n-generator-working-2013-survey-required.html

https://www.jamiiforums.com/tech-ga...sers-avoid-your-accounts-being-suspended.html

https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/480888-introducing-meteor-vpn-2.html

https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/490146-introducing-droid-vpn.html

kama kuna thread yangu ni ya biashara hapa JF tech nipige BANN nimekupa reference zote
Thread zangu zote ni educative au kuwafanya watu aware hakuna thread nimeweka matangazo kwamba kuna offer bei 6500/ au 5500/- au 6000/-
 
Mtalogana sasa ivi... Mi atakayenipatia software ya kutumia kwenye Linux ntanunua vocha zake hata buku 20.

HideMyAss Wiki - Tutorials:gOpenVPN on Linux step by step

Linux ipo ni wewe tu kufanikiwa kuinstall GopenVPN mm ntakupa configuration files
Ukipenda Za TunnelGuru configs ntakupa pia kazi ni kwako ukiweza Install tu GopenVPN basi utakula net kwa Linux

HAPO NDO UTAONA TOFAUTI YA NJUNWA WAMAVOKO na mareseller wengine hata uje na MAC ntakupa soln uje na iOS nipo
 
vizuri mkielewana mkuu!!!, maana wote mna kitu kinachofanana, ushauri wa RCT ni kuwa na msimamo mmoja katika ubadirishaj wa bei,......natumai umenielewa kiongozi WA MAVOKO!!!!

hapo kwenye RANG natakanikukosoe Huduma zangu hazifanani na hawa madogo
nauza VPN for Linux,iOS,Mac na siudhi VPN zile za kupewa settings na mtu fulani naingia chimbo natafuta PORT mwenyewe
nauza
  • SandwichVPN
  • MeteorVPN
  • Wi-Free
  • Pd proxy
  • Sonic VPN
  • TunnelGuru

    Utagundua kuwa mm sio mtu wa kuiga bali ni mbunifu na natoa support KENYA,ZAMBIA, Tanzania.DRC Congo
    Kama auamini ntaweka screenshorts za email conversation kati yangu na hao wateja via Email
 
Back
Top Bottom