chalii wa ara
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 1,086
- 1,021
Kwani sheria za Necta huwa zinasemaje katika ratiba yao? msitusumbue na ukanjanja wenu kila kitu kwenu shida mnakuwa kama wajawazito
Wee nenda kazini, kwani JK kachukua funguo za milango ya maofisini mwenu?Hahahaaa...virais vya banana republics bana!
Vinapenda sana ujiko.
Kama mtu anaapishwa kwa nini watu waache shughuli zao?
Marais wenye majukumu makubwa kama [POTUS] wakiapishwa hakuna anayeachaga kufanya kazi na hakuna cha siku ya mapumziko.
Sasa mapumziko ya nini kesho?
Ama kweli CCM ni ile ile.
Wee nenda kazini, kwani JK kachukua funguo za milango ya maofisini mwenu?
Kuna haja gani ya kutangaza siku ya mapumziko sasa?
Huko ni kuendekeza u mungu mtu tu.
Hujaona umuhimu hapo? Sio umungu, katumia mamlaka yake kama rais.
HAPA KAZI TU.....Is it? Au labda kazi ni kupiga push ups.....Wonders shall never end in tz!
hahahahahaKwani sheria za Necta huwa zinasemaje katika ratiba yao? msitusumbue na ukanjanja wenu kila kitu kwenu shida mnakuwa kama wajawazito