Oeni Wanawake wacha Mungu. Msifanye kosa kabisa

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
24,030
71,252
Hakikisha sana unaoa Mwanamke mcha Mungu. Mwanamke ambaye ataibarikisha familia yako. Atakuombea na kusali pamoja

Atawafanya watoto wako wakue wenye Hekima na Maadili..yaan mtoto anakua anajua wizi ni dhambi, Uvivu ni dhambi, kuongopa ni dhambi, uzinzi ni dhambi, kuvaa nusu uchi dhambiiii. Kwani wakuu mifano simnayo?

OYA, OENI WANAWAKE WACHA MUNGU
 
Zipi characteristics za ucha Mungu?
Mtu anayesali ( sio kusali siku ya ibada tu ,imeisha ) mtu anayesali kila siku ,nahata nyumban kwake ana ibada , kitu kinachomfanya awe karibu na Mungu, kua karibu huepusha uovu.

Kutokwenda na mienendo Ichafuayo mwili wako na kukufanya ujitenge mbali na Mungu...kwa mfano, mavazi ya nusu uchi , Ulevi n.k

haya ni mawili machache.
 
Ucha Mungu upo evident katika macho ya watu?
 
Mtu anayesali ( sio kusali siku ya ibada tu ,imeisha ) mtu anayesali kila siku ,nahata nyumban kwake ana ibada , kitu kinachomfanya awe karibu na Mungu, kua karibu huepusha uovu.

Kutokwenda na mienendo Ichafuayo mwili wako na kukufanya ujitenge mbali na Mungu...kwa mfano, mavazi ya nusu uchi , Ulevi n.k

haya ni mawili machache.
Mimi nilishawahi kumtokea demu mlokole swala tano alikua kiongozi wa kwaya kanisani kwao. Siku nimemtoa out akaagiza konyagi ndogo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom