Oeni Wanawake wacha Mungu. Msifanye kosa kabisa

Tatizo sio kuoa mwanamke mcha Mungu... Je wewe nimchamungu?
Kwamaana sio rahisi kumjua mtu nimchaMungu kwakumuangalia tuu ..
Watu wanaigizaa ujasikia wanakwaya wanagegedana? Mungu ni wa haki atakupa wakufanana nawewe.... Mke mchaMungu mtu upewa na Bwana... Sasa uyo utakayo mpata wakati wewe simchaMungu utakua umempata kwa utashi wako... Uchamungu ni kitu cha ndani saaana.. Anza kumcha Mungu ndio uanze kutafuta mchamungu
 
Leo ndo leo sema simba kaniharibia tu usingizi wangu
Woyooo
Kumbe unashabikia mbumbumbu malalamiko fc?
Ngoja basi nikuzomee kidogo
Screenshot_20210515-220358.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakikisha sana unaoa Mwanamke mcha Mungu. Mwanamke ambaye ataibarikisha familia yako. Atakuombea na kusali pamoja

Atawafanya watoto wako wakue wenye Hekima na Maadili..yaan mtoto anakua anajua wizi ni dhambi, Uvivu ni dhambi, kuongopa ni dhambi, uzinzi ni dhambi, kuvaa nusu uchi dhambiiii. Kwani wakuu mifano simnayo?

OYA, OENI WANAWAKE WACHA MUNGU
😍💣💥🙏
 
Utawajua kwa kipimio gani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom