ODM:.... Get set.... Goooo!

ODM:.... Get set.... Goooo!

Problem is.... Uncle wako hana mipaka kwenye ndoto.... Yaani hua ajisahau kabisa kua ana deal na nani! :shock:

I wish ningeweza 'kikombe hiki kiniepuke' ila kama ujuavyo, hata Nebukadreza hakuweza...Farao hakuweza....lol
Nimeelewa Uncle na Anti. Basi naomba usiwe unanambia kama unamuota huyo. Nambie wengine ila sio huyo.
Alafu kwa vile nimewapata wote online saa hizi nilitaka kuuliza: hivi nina kaka humu JF? kuna mtu alinambia ananitumia brotherly kiss. Nipokee? lol
 
Mpenzi naomba malizaneni na Mwali.... I desperately need you in bed sasa... Kumekucha, and am in for a morning glory...:eyebrows:
 
Nimeelewa Uncle na Anti. Basi naomba usiwe unanambia kama unamuota huyo. Nambie wengine ila sio huyo.
Alafu kwa vile nimewapata wote online saa hizi nilitaka kuuliza: hivi nina kaka humu JF? kuna mtu alinambia ananitumia brotherly kiss. Nipokee? lol
khaaaaaa!
 
Nimeona 'ameamshwa' Coughing ... Hupendi old movies Uncle? zina raha yake, romance was real romance. sio hizi za siku hizi zimekalia graphic zaidi hata hazina mvuto (ingawa kuna ambazo si haba)
:brushteeth:haya, kumekucha, ngoja nikafagie uani.

Apo bold, anti yako anakuletea tangawizi na asali.....sio kwamba sipendi movies, ila tu Mwali kama wewe mpwa wangu kudig kote huko? Au ndo sehemu ya parti ya jikoni? wareva
 
Nimeelewa Uncle na Anti. Basi naomba usiwe unanambia kama unamuota huyo. Nambie wengine ila sio huyo.
Alafu kwa vile nimewapata wote online saa hizi nilitaka kuuliza: hivi nina kaka humu JF? kuna mtu alinambia ananitumia brotherly kiss. Nipokee? lol

wako wengi itabidi umtaje.... na sababu vijana wetu Sweetie ndo awajua vema, hakuna kupokea brotherly kiss mpaka yeye (Sweetie) akuruhusu.... Umesikia niece?
 
Nein....:A S-coffee:
 
(sweetie please usiseme kama huwa naongeaga ndotoni)

You do Love... you always do....

Apo bold, anti yako anakuletea tangawizi na asali.....sio kwamba sipendi movies, ila tu Mwali kama wewe mpwa wangu kudig kote huko? Au ndo sehemu ya parti ya jikoni? wareva

I have taught her that.... Knowledge is power hayo mambo yatakiwa ajue so I do the digging and deliver it to her... Husny tu ndo anisumbua kwa uvivu wake...
 
wako wengi itabidi umtaje.... na sababu vijana wetu Sweetie ndo awajua vema, hakuna kupokea brotherly kiss mpaka yeye (Sweetie) akuruhusu.... Umesikia niece?
Nein....:A S-coffee:
Haya, nimeskia. Bora mngesema nisirudi kupokea coz jana alifikisha kabisa, kwa kunishtukiza, na nilipo muuliza kulikoni ndio akasema ni brotherly. sasa itabidi leo mida ya jioni nimrudishie... hahahahaha
Anti, nitajie basi kaka zangu wa humu niwajue... lol
 
Usishangae deskmate. hii ndio JF ninayo igundua sasa hivi. hahahaha
Ngoja kwanza Uncle na Anti walete jibu, unaweza kuta ni binam, and you know what they say about them :eyebrows: lol

Kama itathibitika kwamba ukaka wenyewe uko hivo bas namimi naomba nikuwe kakaako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom