ODM:.... Get set.... Goooo!

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
67,976
95,289
Wapendwa salaam..... Baada ya vita kali na mazoezi ya kutosha: mie ODM wa wajukuu, mashemeji, wapwa, mahommies na mafellow tablets niko standby kuanza mbio za kurudi kwetu pazuri MMU na Chit Chat pa ukweee. Nahitaji bado sala zenu ili nirudi kwa ushindi. Nani atampokea babu? This time hakuna cha babu kurudi kitandani.... Nimeshtuka! Orayt ODM... On your mark.... Get set.... Gooo!
 
Babu huyoo huyoo.....
Babu huyo huyooo.....
Katoka wodiniii, na vidonge mfukoniii!!!

KARIBU BABU ODM!
 
Karibu sana ODM... Wajukuu wote, wapwazi, mabinamuzi, mashemejiz, wanachama wote bila kujali itikadi zao, pamoja na mamodereta wote haswa PAW wapo tayari kukupokea!
 
Karibu Babu
Mie Bibi nimejiandaa haswaa.
Ntakueleza pembeni watoto wasisikie.

Furaha kusikia umepona.
 
Nashukuru wapendwa. Japo bado siyo kivile. Kiherehere na kuwamisi vimenilazimu niazime kinokia cha bibi yenu ili niwasalimuni. Mkiona kimya msihofu. Dena sore, umenipigia lini? Ngoja nimtume mtoto akaniletee simu kwa mangi pale wanaichaji.
 
Karibu sana ODM... Wajukuu wote, wapwazi, mabinamuzi, mashemejiz, wanachama wote bila kujali itikadi zao, pamoja na mamodereta wote haswa PAW wapo tayari kukupokea!
Ukinionea RussianRoulette mwambie a-come this way.... Kuna ukaguzi flani hivi sikumfanyia. Afu yule shem wangu wa ukweli.... Damn nshaanza kusahau majina ujue. Yes, AshaDii mwambie ana kesi ya kujibu... Kama mtori ulimshinda si angenipikia uji tu....
 
Nashukuru wapendwa. Japo bado siyo kivile. Kiherehere na kuwamisi vimenilazimu niazime kinokia cha bibi yenu ili niwasalimuni. Mkiona kimya msihofu. Dena sore, umenipigia lini? Ngoja nimtume mtoto akaniletee simu kwa mangi pale wanaichaji.

Nitume mimi babu......nitaenda kukuletea.
Usihofu leo sitakuibia salio....lol!!
 
hahah kusoma nlifeli lakini mafoto hayanishindagi... Afu we bado mtamu au ndo ushakuwa kipipi kifua?
 
Babu, hujui furaha ya moyo wangu kwa kweli! wanasemaga huwezi jua thamani ya kitu kabla hujakikosa. unge-rest in pieces yaani bibi angehisi mie ndo mwizi wa siku zote ( kumbe walaa) kwa jinsi ningevyozirai na kuzimia kufa kufa kwenye hiyo party yako! dah, sikujuaga nakupendaga hivi (sio namna ile ila namna hii,kha!).
karibu, ngoja ni-digest kwanza huu ujio wako.
 
Unaitwa kule chit chat na bht.
 
sasa King... Maadam ushajua wanipendaga mbona nimebung'aa huku inbox sioni foleni za PMs. Hujui ku do the needful na vikongwe? Slow and tender actions, maxmum satisfaction, minimum risk, assuarance of soon and very soon benefits of Next of kin. Wahi kabla hujawahiwa lol
 
Similar Discussions

23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom