ODM:.... Get set.... Goooo!

ODM:.... Get set.... Goooo!

Kwa hio uko radhi awe apokea tu brotherly kisses ovyo ovyo? lol Kloro you know nakutegemea katika protecting her hasa ukizingatia ni desk mate wake na mtu wetu wa karibu in the family....

Dah! sore skujua aisee, worry not! from now on she is in a safe guardian. Tena mwambie askuwe mkaidi kwa protector wake.
 
Haya, nimeskia. Bora mngesema nisirudi kupokea coz jana alifikisha kabisa, kwa kunishtukiza, na nilipo muuliza kulikoni ndio akasema ni brotherly. sasa itabidi leo mida ya jioni nimrudishie... hahahahaha
Anti, nitajie basi kaka zangu wa humu niwajue... lol

Khaaaa!!! Hapa namuachia Mpenzi Kaizer ajibu!
 
Apo hakuna kinachokubidi Mwali....umesikia eeh? Na kama vipi utakuwa unatoka na kaka zako...:A S embarassed:
 
Sasa hapo unataka kuchanganya mambo. Aspirin ni babu, Kaizer ni Uncle, alafu wewe binamu? :confused2:

Anakuchemsha tu.... Huyo ni rafiki wa karibu wa uncle wako (sio lazima umwite uncle thou) :lol: Ila kikubwa ni kua ni desk mate alafu protecter pia.... Soma maneno ambayo nimesainiana na Klorokwini hapa chini...

Dah! sore skujua aisee, worry not! from now on she is in a safe guardian. Tena mwambie askuwe mkaidi kwa protector wake.

Hatakua mkaidi..... She is so obedient of all the nieces....lol
 
Nipo nje kwa zamana kamanda, kumbe ulitembelea kwa vishoka? Hawakukuchafulia CV?

uzuri wake ni kuwa yule raisi wao hakustukizia ziara yangu.....kama vipi nikuchukulie msuba kwa Hus umpelekee Uporoto?
 
Khaaaa!!! Hapa namuachia Mpenzi Kaizer ajibu!

Apo hakuna kinachokubidi Mwali....umesikia eeh? Na kama vipi utakuwa unatoka na kaka zako...:A S embarassed:
Si mnajua tena mi nimetoka Tanga recently watoto wa mjini wanatafuta njia mbali mbali za kunikaribia?
Bahati tunacommunicate vizuri na haya matatizo naona nitayashinda tu.
So no brotherly kiss, na kama nikiewa kwa bahati mbaya no kurudisha.
Darasani na jamvini Klorokwini bodigadi. copied.
Klorokwini nae tunahusianaje? ni rafiki wa Uncle, ni kaka, ni binam, ni rafiki wa babu, ni family friend ... ni nani hasa kwangu?
 
Haya, nimeskia. Bora mngesema nisirudi kupokea coz jana alifikisha kabisa, kwa kunishtukiza, na nilipo muuliza kulikoni ndio akasema ni brotherly. sasa itabidi leo mida ya jioni nimrudishie... hahahahaha
Anti, nitajie basi kaka zangu wa humu niwajue... lol

Ngoja nitafute siku nikutajie list ya familia nzima.... Kikubwa mtu akijitambulisha ni nduguyo na huna hakika uje ureport kwanza!
 
uzuri wake ni kuwa yule raisi wao hakustukizia ziara yangu.....kama vipi nikuchukulie msuba kwa Hus umpelekee Uporoto?
heheheeh Uporoto wenyewe ana skendo ya kuiba mbuzi boda la isiopia, Na Hus! ukimpa msuba anatetemeka sana bana atauza soo.
 
Anakuchemsha tu.... Huyo ni rafiki wa karibu wa uncle wako (sio lazima umwite uncle thou) :lol: Ila kikubwa ni kua ni desk mate alafu protecter pia.... Soma maneno ambayo nimesainiana na Klorokwini hapa chini...

Hatakua mkaidi..... She is so obedient of all the nieces....lol

Well noted and filed.
 
Si mnajua tena mi nimetoka Tanga recently watoto wa mjini wanatafuta njia mbali mbali za kunikaribia?
Bahati tunacommunicate vizuri na haya matatizo naona nitayashinda tu.
So no brotherly kiss, na kama nikiewa kwa bahati mbaya no kurudisha.
Darasani na jamvini Klorokwini bodigadi. copied.
Klorokwini nae tunahusianaje? ni rafiki wa Uncle, ni kaka, ni binam, ni rafiki wa babu, ni family friend ... ni nani hasa kwangu?

waaambie hata "tanga ni mjini pia" waja leo waondoka leo...

kwa kuanzia, kloro ni deskmate....in that order, na anaandaa silabasi kabisa amesema...then nirafiki yangu, rafiki ya ODM, na for that matter ni family friend. No brotherly kiss. Umeelewa mpwa?
 
Kama hakuna brotherly kiss basi na ukaka cancelled. tuludi kama zamani tu ma deskmate

Yaaani Kloro NIMECHEKA.... Khaaaa!! lol

Si mnajua tena mi nimetoka Tanga recently watoto wa mjini wanatafuta njia mbali mbali za kunikaribia?
Bahati tunacommunicate vizuri na haya matatizo naona nitayashinda tu.
So no brotherly kiss, na kama nikiewa kwa bahati mbaya no kurudisha.
Darasani na jamvini Klorokwini bodigadi. copied.
Klorokwini nae tunahusianaje? ni rafiki wa Uncle, ni kaka, ni binam, ni rafiki wa babu, ni family friend ... ni nani hasa kwangu?

Mwali hapo inatakiwa usiwe na haraka.... Klorokwin ni close familiy friend, hivo kwako aweza kua lolote lile? Protector... Kaka... Uncle.... na mengineyo mengi..... Get the trend niece?😛hoto:
 
Yaaani Kloro NIMECHEKA.... Khaaaa!! lol

Mwali hapo inatakiwa usiwe na haraka.... Klorokwin ni close familiy friend, hivo kwako aweza kua lolote lile? Protector... Kaka... Uncle.... na mengineyo mengi..... Get the trend niece?😛hoto:
Nimesha elewa. Kwa sasa ni deskmate wangu, na nikitishiwa kama niko mbali nanyi najua naweza kupeleka mashtaka kwake.
Deskmate, twende shule tuwapishe Uncle na Anti.
 
Love.... my need is escalating.... natangulia kufanya maandalizi....:A S tongue:

@ Mwali, leo usimuamshe Husny kuosha vyombo.... Sweetlady aliahidi atafanya hivo.

@Klorokwini.... Fanya hima Uporoto aje jamani.... We miss him.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom