ODM:.... Get set.... Goooo!

kamanda...

pole na msiba, pole kwa kuugua na pia pole sana kwa kukosa kinywaji sababu ya dozi

mawili toka kwangu kama kakako mkubwa
badili mashuka, unaporudi kitandni na hujabadili mashuka homa huongezeka:A S-omg:
acha kurudi kitandani, wenzio tuko bize na makochi and we get same results

:welcome:
Hahah kamanda! Hatimaye nimeuanza mwaka... Dah! Naki nakuachia rasmi asee... BTW unajua mamake Salu naye ka-RIP? Huu mwaka noma mazee.
 
mkuu kakamega sioni kitu supersport wameamua kutuonyesha wovz na bamingham... urojo n'tupu
Huku kwetu netiweki imeishia pale zero pub. Lionnel hajawatengua watu viuno bado? Ngoja niperuzi soccernet. Natamani sana kumwona Mou akilia.
 
Hahahaha, Shkamoo Uncle. Habari ya Aunty yangu? Mwambie na mimi najitandia kama yeye sasa hivi. No kuonesha tabasam tena...

Marhabaa mpwa wangu....Aunt yako hajambo, hujanijibu swali langu hapo juu lakini. Umenionea wapi mdogo wako?

When you see snakes buying bikes, just assume they have figured out how to pedal.
 
I will super darling....niko na Kaizer tunaangalia mechi then atanipitisha hapo kwako...mwambie bibi nitalala hapo!

kwa vile wewe u mjukuu senior, hakuna haja ya taarifa...pale ni kama nyumbani tu...ngoja tumalizie El classico nakupeleka bila wasi wasi kisha mimi huyoooo narudi zangu:poa
 
RM washapiga kimoja. Cant stand it. Ngoja nilog off. Unipe matokeo kama messi atawatengua viuno. I believe you know where you'll find me. And please don tell no body... Deal?
 
Marhabaa mpwa wangu....Aunt yako hajambo, hujanijibu swali langu hapo juu lakini. Umenionea wapi mdogo wako?

When you see snakes buying bikes, just assume they have figured out how to pedal.
Mwambie Aunty namtakia usiku mwema. Mdogo wangu yupi hasa tunazungummzia, Husninyo? nadhani amesha lala.
Mwali si mwalimu uncle, Mwali ni mwali tu... :lol:
Alafu mbona umenukuu signature?
 
kwa vile wewe u mjukuu senior, hakuna haja ya taarifa...pale ni kama nyumbani tu...ngoja tumalizie El classico nakupeleka bila wasi wasi kisha mimi huyoooo narudi zangu:poa

Asante mkuu..msome Babu kwenye message alonijibu....unajua pa kunipeleka kweli??
 
Mwambie Aunty namtakia usiku mwema. Mdogo wangu yupi hasa tunazungummzia, Husninyo? nadhani amesha lala.
Mwali si mwalimu uncle, Mwali ni mwali tu... :lol:
Alafu mbona umenukuu signature?

ewaaa, nikimaanisha huyo huyo Husninyo, ndo nikimuulizia, kitambo kidogo sijamwona kibarazani hapa..kumbe keshatangulia kulala, vizuri

Nimependa kumbe hii ni Mwali kwa maana yake halisi....basi tuwaaache mwali na wali wa liwale wale wali wao

Signature nimeipende, imebeba ujumbe niliotaka kukupa Mwali na Mpwa wangu....kuwa na wapwa wawili raha sana....:A S-coffee:
 
RM washapiga kimoja. Cant stand it. Ngoja nilog off. Unipe matokeo kama messi atawatengua viuno. I believe you know where you'll find me. And please don tell no body... Deal?

Sawa Babu, nitakuja na matokeo... i know where to find you and will not tell anyone, DEAL!! See ya!
 
ewaaa, nikimaanisha huyo huyo Husninyo, ndo nikimuulizia, kitambo kidogo sijamwona kibarazani hapa..kumbe keshatangulia kulala, vizuri
Nimependa kumbe hii ni Mwali kwa maana yake halisi....basi tuwaaache mwali na wali wa liwale wale wali wao
Signature nimeipende, imebeba ujumbe niliotaka kukupa Mwali na Mpwa wangu....kuwa na wapwa wawili raha sana....:A S-coffee:
Husninyo aliahidi kuosha vyombo kesho ndio maana kalala mapema. Mi nitaamkia kwa somo kuendelea kufundwa :)
 
Similar Discussions

23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom