ODM:.... Get set.... Goooo!

Ashukuriwe mungu,hatimae ndan ya nyumba!karibu sn our swty babu,tulikumic sn wajukuu,pande zetu kule pm ndio ucseme tunasubiri ukaguzi wako lol!
Kama we ndo sijaona PM yako tangu klorokwini aende jandoni. Niko inbox huku.
 
Najisikia vibaya...!! naona kama sipendwi na Babu kama zamani......!!

Nisamehe nilipokosea Babu...please!
 
Najisikia vibaya...!! naona kama sipendwi na Babu kama zamani......!!

Nisamehe nilipokosea Babu...please!

Babu anaenda na wakati
Sisi wa kale run
Tume wekwa kando kwa sasa .
Yaani ni kama yule king wa england miaka ile
King Henry.. kama umewahi kusoma history yake au kama umewahi kuona THE TUDORS .. UTAfahamu namaanisha .nini ..
 
Babu anaenda na wakati
Sisi wa kale run
Tume wekwa kando kwa sasa .
Yaani ni kama yule king wa england miaka ile
King H

Kumbe ndo hayo, basi mie kwa roho safi namuacha na utaratibu wake mpya....!

All the best Babu...!
 
Karibu Babu
Mie Bibi nimejiandaa haswaa.
Ntakueleza pembeni watoto wasisikie.

Furaha kusikia umepona.

Orait bibi Kongosho...am 'comfortable' now

Hommie, pole sana. wanaume tumeumbwa matesooooo....lakini mwisho wa siku we come out even stronger....so on your marks....go!
 
Ukinionea RussianRoulette mwambie a-come this way.... Kuna ukaguzi flani hivi sikumfanyia. Afu yule shem wangu wa ukweli.... Damn nshaanza kusahau majina ujue. Yes, AshaDii mwambie ana kesi ya kujibu... Kama mtori ulimshinda si angenipikia uji tu....

Sasa Hommie.....dah....ilitokea mimi na wewe tunaumwa serious wakati mmoja....hapo uji na mtori vingeenda wapi?:shock:
 
Sasa Hommie.....dah....ilitokea mimi na wewe tunaumwa serious wakati mmoja....hapo uji na mtori vingeenda wapi?:shock:
Hahah hommie bana huchezi mbali. Sasa hapo umenikumbusha ile mitihani ya multiple choice.... Ni utata kwa vichwa na furaha kwa vilaza lol
 
Karibu tena mzee mwenzangu,

Hata Land rover 109 bado zinadunda,

Babu DC!!
Hahah mzee mwenzangu ahsante sana... Hii pijo yangu thrii oo foo bado inaniweka mjini.... Kale kawimbo ketu wakakumbuka? Niko kilimani naranda, nangojea pijo kupanda....
 
Najisikia vibaya...!! naona kama sipendwi na Babu kama zamani......!!

Nisamehe nilipokosea Babu...please!
Yani afu weye usipendwe kumbe atapendwa nani? Na ule mkongojo ulonnunulia Sarajevo bado nnao, ila sema umepinda kiduchu. Hebu njoo uuone labda waweza pata bashasha ukanigea mwingine...
 
Yani afu weye usipendwe kumbe atapendwa nani? Na ule mkongojo ulonnunulia Sarajevo bado nnao, ila sema umepinda kiduchu. Hebu njoo uuone labda waweza pata bashasha ukanigea mwingine...

Wow Wow Wow....am so happy Babu....nakuja sasa hivi ngoja nioge....nitakununulia mwingine...I promise!! :poa
 
Wapendwa salaam..... Baada ya vita kali na mazoezi ya kutosha: mie ODM wa wajukuu, mashemeji, wapwa, mahommies na mafellow tablets niko standby kuanza mbio za kurudi kwetu pazuri MMU na Chit Chat pa ukweee. Nahitaji bado sala zenu ili nirudi kwa ushindi. Nani atampokea babu? This time hakuna cha babu kurudi kitandani.... Nimeshtuka! Orayt ODM... On your mark.... Get set.... Gooo!

kamanda...

pole na msiba, pole kwa kuugua na pia pole sana kwa kukosa kinywaji sababu ya dozi

mawili toka kwangu kama kakako mkubwa
badili mashuka, unaporudi kitandni na hujabadili mashuka homa huongezeka:A S-omg:
acha kurudi kitandani, wenzio tuko bize na makochi and we get same results

:welcome:
 

Similar Discussions

23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom